Nimeamua kuachana na CHADEMA

kichwa cha habari hakiendani na ukichokiandika hapa mkuu! Kuna walakini wewe ni mmoja wa Wanalumumba! Ungeeleweka vizuri zaidi endapo kichwa cha habari kingesomeka hivi;
"Nimeamua Kuachana Na Siasa Rasmi"
 
Mimi lile zengwe kwa Dr Slaa sikuamini kilichotokea! Hadi sasa imenifanya niichukie Chadema. Ukifikiria mapito watu waliyopita kukijenga chama ktk ya msitu wa chama kigumu na kikongwe Africa kama CCM then tunakiuka Values ili kupata shortcut ya ikulu ilivunja moyo wengi. Mbaya zaidi wakashindwa kuhandle hiyo transition smoothly wakaanza kumchafua mzee wa watu ili kuua ile trust watu waliyokuwa wamejenga kwake. Kweli wanasiasa wa Kiafrika wana matatizo.
 
Mwenzako nimefura na mihasira imebidi nijikalie mahali nipooze roho na kichupa cha wine sina hamu,niko na wadau wamenishauri nijiandikishe Mount Meru Marathon 😕
Mkuu Ngongo kilichotakiwa kufika kimefika mahala husika,ukiandika sawa!ukiimba sawa!ukilia sawa!ukiandamana sawa,kikubwa ni kufikisha ujumbe!! Na ujumbe umeshafika! Tuokoe gharama nyingine za fedha na damu,salute kwa UKUTA! Serikali nzima imejikuta ikijigonga na kuumia ukutani!! Asante Ukuta!
 
we dada umeongea ukweli watu wasiotaka kuusikia..
 
Nawaunga mkono viongozi wa chadema kwa uamuzi makini na wenye kwa manufaa ya watanzania wote. Upinzani ukafanyike panapo stahili bungeni.
 
We kweli zuzu, tunataka utawala wa sheria we unamzungumzia slaa mwoga, yeye amechaguliwa toka wapi na anasimamia ilani ya chama kipi? Je CCM nayo italala hadi 2020? UKUTA bado nauona upo imara labda aje na tamko LA kuufuta kwani hata sisi (CCM) limetpoteza, tuna uchungu jumbo letu kwenda upinzani na tulikuwa na mkakati wa kulirudisha je hii ban ikiendelea hata serikali za mitaa tusubiri anguko kuu, thinks twice.
 
Hahahaha yani kamanda aandamane peke yake?
teh, ukuta umegeuka kifusiii, walishindwa kuhairisha week zilizopita wamesubiri masaa ndio wamekubali hawatoweza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hiki chama ni raha sana kwakweli
 
Ngbana bana mbona unapenda kususasusa na kuacha? Arsenal uliiacha, CHADEMA umeiacha kwa mwendo huu hata shemeji sijui kama hajaachwa
Ngbana bana mbona unapenda kususasusa na kuacha? Arsenal uliiacha, CHADEMA umeiacha kwa mwendo huu hata shemeji sijui kama hajaachwa
haahaa mkuu huyu ndio yule aliyenzisha thread kule jukwaa la sport akisema ameacha kuishabikia arsenal
 
Hili linasikitisiha; usiachane na CHADEMA kwa sababu ati hawakuandamana kama walivyosema; unaweza kuachana nao kama kuna tofauti za msingi ambazo unaoona haziwezi kupatanishwa. Mambo ya maandamano n.k yana umuhimu wake lakini usiyafanye kuwa ni 'deal breaker'.
 
Kama ngoma walisha ipiga upande uleeeeee ukaocheza .....chelea chelea
 
teh, ukuta umegeuka kifusiii, walishindwa kuhairisha week zilizopita wamesubiri masaa ndio wamekubali hawatoweza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hiki chama ni raha sana kwakweli
Nadhani sasa watajifunza kuwa wana waheshimu hata wanao waona hawajasoma. Joyce kiria toka mwanzo aliwashauri kusitisha na akawambia hawatoweza lakini hawakutaka kusikia sasa angalia Lowasa na Mbowe wamekimbia na cement ya kujengea ukuta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…