Nimeamini zanzibar break

Nimeamini zanzibar break

Kabisaaa bwawani hotel(Komba disco na Rocky cafe)wapo wengi sana usiku ila ni vibaka wazoefu!!! Uwe makini. Hata maeneo ya CCM na Gymkana jioni jioni ndiyo maeneo yao pia utapata hapo.

Hwhehhe smthng is telling me kuna kitu kilikutokea
What happened bulazaaaa?
 
Kakudanganya nani? Nenda bwawani hotel kuanzia daa 6 usiku au polisi mess ujichagulie mbunye unayoitaka ya kizenj. tena muda huo baibui zimeshavuliwa ni mwendo wa vimini. huyo jinga anayelalamika kafuria hana mbumba.

Hao ni wa Tanganyika wenzio.
 
Na bado ulivyo na nuksi utaopoa jini likakufumuefumue chejea janjibar weyee
 
Hao unaowakuta kwenye kumbi za starehe ni watanganyika
 
haoo wa vaa vmini ni wakuja tu co wazenjiiii.....ukitaka kumpata mtoto wa kizenjii mtumie kaka yake, shsngazii au dada yake na uwe na nia ya kuoa
:flypig:habar ndo hiyoooooooooooooo;;; vinginevyo utapeperusha ndegeee
 
Zenji kuna watu kama wewe kwa nini ulishundwa?
miaka yote hiyo au ulikua unaogopa kukutana na majini mwenzetu?
 
Back
Top Bottom