Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

Nimeona mengi kuanzia kwa RC Hadi Mawaziri hakuna anayemkumbuka tena zaidi hata yale aliyoyafanya wakawa wanayahubiri kumbe na wao yaliwachosha

Kumbe hakuna hata mmoja aliyapenda matendo yake labda Ole Sabaya
Acha Kufuatilia Maisha ya Viongozi .Ukipata Hela Utaacha
 
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
Mama D,MTU yeyote afanyaye ya machikizo,atatajwa KILA uchwao,Kwa maovu yake na si Kwa mema yake.
 
Damu ya hawa jamaa haiwezi kupotea bure. Makonda anahusika kwa 100%na vifo vyao
Kwani hauruhusiwi kwenda mahakamani na ushahidi ulonao huyo Makonda ashitakiwe?
Maana haiwezekani adhulumu haki za watu kiasi hiki
 
Kwani hauruhusiwi kwenda mahakamani na ushahidi ulonao huyo Makonda ashitakiwe?
Maana haiwezekani adhulumu haki za watu kiasi hiki
Unaishi Tanzania ipi wewe Avriel ambaye huna habari kuwa Makonda kishafunguliwa kesi na wendesha mashtaka binafsi?
 
Mzee wangu mmoja, mkongwe ndani ya CCM. Baada ya kufa Magu, na wanaCCM kuanza maneno manenoz, nikamuuliza hii hali vipi? Akanipa jibu jepesi, "mwanagu, wakati wa dhoruba unafunga milango na madirisha unatulia ndani" Ndicho walichofanya wanaCCM wengi, sio kwamba walikuwa wanafiki, ukweli ni kwamba hakuweka nafasi ya wao kuwa wakweli, ndio maana alivyokufa wameamua kusema ukweli.
 
Ahahah,mkuu una majonzi sana kumbe na ndugu yenu ,

Magufuli alikuwa dikteta majinuni, Ni mtu mpuuzi tu ndio anaweza kumkumbuka yule mzee,
Samia ni faraja kwa Watanzania kwasasa.
Kwenye utawala wa awamu ya tulishuhudia mwangosi akimwagwa utumbo nje lakini wa2 hawasemi ila magufuli kila siku anatanjwa ni muuwaji embu mtupe jina la m2 mmoja aliyemuua na watz wakashuhudia kama alivofanywa mwangosi
 
Kwenye utawala wa awamu ya tulishuhudia mwangosi akimwagwa utumbo nje lakini wa2 hawasemi ila magufuli kila siku anatanjwa ni muuwaji embu mtupe jina la m2 mmoja aliyemuua na watz wakashuhudia kama alivofanywa mwangosi
Bora wewe umetunza kumbukumbu vizuri, ......Nakumbuka kipindi flani waandishi walitobolewa macho, wadaktari waling'olewa meno na kukatwa vidole Bila ganzi, makanisa yalichomwa, viongozi wa dini walimwagiwa tindikali, mapadri wapigwa risasi.....
 
Back
Top Bottom