Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

makundubhyali

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
2,389
Reaction score
886
Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia huchelewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi.

Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha .

Je, kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?!

CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.
 
Nakumbuka kupitia vyombo vya habari tulijulishwa Tanesco wako ktk hatua za mwisho kuunganisha gesi ili umeme kukatika iwe ni historia, lakini hilo limeshindikana, sijui tatizo gani tena. Hatuna umeme muda mwingi mchana na usiku. Tanesco toeni taarifa yenye uhakika.
 
Mkatiwe tu ninyi kwa nini? Huku nilipo umeme mda wote upo hata walivyokua kwenye matengenezo tunawashukuru Tanesco kwa kutokata umeme kabisa.
 
Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia hucherewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi. Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha . Je kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?! CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.
Hivi na wewe ni binadamu kweli naona kama hujitambui.
 
Nunuwa solar.
 
Hilo ni jambo kubwa sio Tanesco tu hata watumishi wa Serikali wa Sekta tofauti tofauti hii ni aibu huwezi lazimisha mawazo ya mtu
Mkuu wakati TANESCO wanatangaza uzalishaji wa umeme kuimaliza adha ya kukatiwa taarifa za habari ndo inazidi!!tena wanarudisha immediatly baada ya taarifa kwisha
 
CCM ni janga la Taifa.Mbinu zao hizi zinazolitia Taifa hasara zimefikia ukingoni. Bado wiki tano tu.
Mkuu watu wengi sana wamepata hasira hasa akina mama kwani mara nyingi wanakata usiku saa ambazo akina mama wanaandaa maakuli, kwa kweli mwaka huu CCM hawataamini kitakachowakuta.
 
Hivi na wewe ni binadamu kweli naona kama hujitambui.
Mkuu nashukuru kwa matusi yako tutajua tu nani binadamu baada ya tarehe 25/10. Ukiona mtu anatuka wakati hujamtukana jua mtu huyo ka......................
 
Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia hucherewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi. Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha . Je kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?! CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.
Endelea kupiga posho za Ukawa ndo unachokiweza tu humu njaa itakuua mwaka huu.
 
Mkuu watu wengi sana wamepata hasira hasa akina mama kwani mara nyingi wanakata usiku saa ambazo akina mama wanaandaa maakuli, kwa kweli mwaka huu CCM hawataamini kitakachowakuta.
Dua la kuku haimpati mwewe, we endelea kupiga posho tu za Ukawa lkn hapa ni kazi tuuu
 
Mkuu wakati TANESCO wanatangaza uzalishaji wa umeme kuimaliza adha ya kukatiwa taarifa za habari ndo inazidi!!tena wanarudisha immediatly baada ya taarifa kwisha
Weka usahidi kuthibitisha hilo kijana kama huna we endelea kula posho za ukawa zilizokuweka hapo ulipo.
 
CCM ni janga la Taifa.Mbinu zao hizi zinazolitia Taifa hasara zimefikia ukingoni. Bado wiki tano tu.
Posho inakuhusu , wewe huli chakula wala kwenda chooni mpaka Ukawa wakupe hela ndo unachokiweza hicho, endelea kijana njaa itakuua mwaka huu
 
Nipo chuga na umeme unaendelea kukatika kama kawaida. Hiyo mitambo ya gesi waliyosema ishaunganishwa mbona hatuoni positive impact zake? Au ndo tunadanganywa hivi hivi.
 
Back
Top Bottom