Nimeamini mchepuko umleavyo ndivyo akuchukuliavyo

Nimeamini mchepuko umleavyo ndivyo akuchukuliavyo

Mkuu fanya tuu uhalalishe, awe mke mambo ya kumwita mchepuko na miaka nenda Rudi unakula mzigo siyo haki..
 
Binadamu tulivyo wa ajabu,
Huwezi amini, Uko uko ukraine kwenye Vita kali Kuna watoto watakuja kuzaliwa mwezi NOVEMBER mwaka huu

Maana ake hizo mimba zilitungwa kipindi hiki February nchi Yao ikiwa ktk Vita[emoji4]
Sasa mzee nisitie ndonga, kisa vita.. [emoji23]
 
Hapo ulicheza kama Pele,ila pia hapa ndio naamini hajakuloga,n hisia zetu tuu,pia haya mambo sio ya michepuko ipo pande zote hata sisi wanaume kuna kitu tunamuomba mwanamke kumjaribu akikubali sawa,akiwa mkali unapotezea,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha....
Yaani mnacheza mchezo wa kutikisa kiberiti, ikitiki mnalipua[emoji4]
 
Kiukweli hawa viumbe siwaelewagi, ukiamua umpe uhuru ili muishi kama binadamu basi yeye hiyo chance anaitumia kukujaribu kifala.
Yaani nmegundua huu Ujinga sio wa kuendekeza, ni kuishi TU kwa misimamo yako ulojiwekea.

Ukinifanya romantic Sana, naye hachelewi kukuingizia kidole sehem kusikohusika
 
Zee naona unajihimu kwenda kwa mchepuko kuosha vyombo.. [emoji1787][emoji1787] mbususu izi aisee.
Hizo mbususu zinatupeleka lesi sana[emoji4]

Sema mkuu,
kuishi na uyu Mchepuko wangu pasua kichwa inazidi kunikomaza Sana kimahusiano na kiakili.
 
Kukemea pepo la uzembe linalofanya uendeshwe na huyo mchepuko
Mbona hamna uzembe mkuu, au ujausoma Uzi vizur[emoji4]

Hakuna mahali Mchepuko kaniendesha bhana, Ni Changamoto ndogo ndogo hizo.
 
Back
Top Bottom