DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
- Thread starter
- #101
Karibu sana Farasi wa vita [emoji4]Mkuu me huwa nazikubali sana hizi harakati zako na huyo mchepuko wako, ni kama series flani hivi...[emoji109]
Karibu sana Farasi wa vita [emoji4]Mkuu me huwa nazikubali sana hizi harakati zako na huyo mchepuko wako, ni kama series flani hivi...[emoji109]
Tuombe Mungu kakaHana mambo hizo uyu, afu ata akijaribu haniwezi.
Trust me, Najiamini Sana ktk Hilo[emoji4]
Nakuombea umuache kabisa..mume anauma sana!Ndo uniombee Sasa Kaka ako, sio unisagie kunguni[emoji4]
Inabidi tumuombee mchepuko awe njia kuu sasa...Mkuu me huwa nazikubali sana hizi harakati zako na huyo mchepuko wako, ni kama series flani hivi...👊
Ila unambania sana,sasa mfanye na umuweke proud kila sehemu mkuuHa ha ha ...
Uyo pepo wa limbwata keshashindwa tayar Joannah[emoji4]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua tuuu!na mtaaachana tuuu!kwa uwezo MunguHizo Sara zako zishindwe kwa jina la yes[emoji4]