Kwan mwanzo alifanya nani?😀😁😁Ujinga huo tena afanye Nani?
Na uzur anatumia lugha laini anakusifia Kama anakuvuta uingie mkenge[emoji4]Kwan mwanzo alifanya nani?[emoji3][emoji16][emoji16]
Tena hapo utabembelezwa had usafishe na jiko
Hamna tutasema upo romantiki kama wanavyosema waoAfu mkinikuta mniseme nimelishwa limbwata[emoji2]
Kama unapika maandazi vile anaanza kukukanda kanda alaf anakuja kukukaangaNa uzur anatumia lugha laini anakusifia Kama anakuvuta uingie mkenge[emoji4]
Yaan wanawake wetu hawa, janja janja nyingi sana[emoji2]
Asubiri vita iishe kwanzaNa haoni kuwa kuna vita huko Ukraine wenyewe wanakula raha tu sijui hawanaga majonzi..[emoji23]
Kama anakupangia kazi ni bora muende Ukraine kwa matembezi ya siku 3.Uyu mwanamke Bado Niko naye Sana TU[emoji4]
Hivi ukipikia gesi bado ile kazi ya kusugua sufuria inakuwa ina kuhusu?Sipati picha, ndo unikute pale nmekaa nasugua sufuria[emoji4]
Binadamu tulivyo wa ajabu,Asubiri vita iishe kwanza