Aseee umetisha Sana Sasa huyu muoe tu mkuu,,nfanye mchepuko halali. Na Yule mdogo ake jeYule yule mkuu [emoji4]
Hongera Sana mzeeUyo mdg wake huwa Ni wa emergence tu, Yuko chuo anasoma.
[emoji23][emoji23][emoji23] usichelewe Sana basKumuoa bado bado mkuu[emoji4]
Ingekuwa poa kama wangechanganya damu na waafrika.Binadamu tulivyo wa ajabu,
Huwezi amini, Uko uko ukraine kwenye Vita kali Kuna watoto watakuja kuzaliwa mwezi NOVEMBER mwaka huu
Maana ake hizo mimba zilitungwa kipindi hiki February nchi Yao ikiwa ktk Vita[emoji4]
Na watoto wengi wataitwa majina kama vile putin n.kBinadamu tulivyo wa ajabu,
Huwezi amini, Uko uko ukraine kwenye Vita kali Kuna watoto watakuja kuzaliwa mwezi NOVEMBER mwaka huu
Maana ake hizo mimba zilitungwa kipindi hiki February nchi Yao ikiwa ktk Vita[emoji4]
Within 4months mtafumaniwa tena na mwanamke ni heri akufamanie na ke mpya ila yule yule jiandae disastetSiku fupi Kama za j.mosi Ni kawaida sana kwangu kufika MDA huo[emoji4]
Hahaha umuoe eee atajirekebisha maana nyie Ni ndege wawili mnaruka pamojaKumuoa uyu haina MDA maalum,
Akijirekebisha TU tabia zake nikaona anafaa kua wife material namuoa.
kwaSasa badobado anawenge wenge Sana[emoji4]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]kabisaaa siku si nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]na sufuria utazisugua