Nimeamini matusi ,kejeri ,dhihaka na dharau zilizoporomoshwa kwa hayati Magufuli zilitoka kwa wana CCM wenyewe

Kimsingi wana ccm ndiyo wame huska moja kwa moja huko nyuma tulifikilia niwazee wa ufipani kumbe ni ma ccm ambayo yana husika na kuuza madawa ya kulevya malalushwa mahujumu uchumi mazandiki yani yanakila sifa uvu yanayo ila mwisho upo nasimbali sana
Wanaanza kujua hawajui, nawaona wengi wanaanza kuukimbia upande wa giza na kuibukia kwenye mwanga na mambo yake mema. 😂
 
Kimsingi wana ccm ndiyo wame huska moja kwa moja huko nyuma tulifikilia niwazee wa ufipani kumbe ni ma ccm ambayo yana husika na kuuza madawa ya kulevya malalushwa mahujumu uchumi mazandiki yani yanakila sifa uvu yanayo ila mwisho upo nasimbali sana
Hili halihitaji mjadala ,pigia jibu mstari
 
Kimsingi wana ccm ndiyo wame huska moja kwa moja huko nyuma tulifikilia niwazee wa ufipani kumbe ni ma ccm ambayo yana husika na kuuza madawa ya kulevya malalushwa mahujumu uchumi mazandiki yani yanakila sifa uvu yanayo ila mwisho upo nasimbali sana
Ma CCM majizi na mafisadi yakibanwa hukimbilia kuuwa wenzao tu
 
Kwa Sasa jukwaa limejaa mapambio na sifa zisizostahili hata kidogo ,ili mradi kukomoa wafuasi na mashabiki wa late Magufuli.
Si Twitter, Facebook, matusi hayapo,kilichobaki ni kusifiana na kupongezana,haya nayo yana mwisho

MaCCM ni majinga na matahira tu. Hawana misimamo, kazi yao ni kufata matumbo yao kwa kusikilizia teuzi.
 
Kwa Sasa jukwaa limejaa mapambio na sifa zisizostahili hata kidogo ,ili mradi kukomoa wafuasi na mashabiki wa late Magufuli.
Si Twitter, Facebook, matusi hayapo,kilichobaki ni kusifiana na kupongezana,haya nayo yana mmwis

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu aliyeko motoni bila damu kumwagika.
Sawa malaika tumekusikia maana wewe utaishi milele,hongera kwa mamlaka uliyonayo ya kuweza kumuhukumu mwanadamu mwenzako.
 
Hata Libya ya Gaddafi walisema haya usemayo,kwa sasa wanaila pepo vizuri hapa duniani kabla ya akhera

Fuatilia vyanzo mbalimbali vya taarifa, uchumi wa Libya uko juu mpaka sasa kuliko wetu kwenye amani ya ukondoo.
 
Kwa Sasa jukwaa limejaa mapambio na sifa zisizostahili hata kidogo ,ili mradi kukomoa wafuasi na mashabiki wa late Magufuli.
Si Twitter, Facebook, matusi hayapo,kilichobaki ni kusifiana na kupongezana,haya nayo yana mwisho

Magufuli bado ana wafuasi nae ha ha ha ha ha ha ha
 
Nakuhakikishia kama ni washiriki na tupo hai mwisho wao au vizazi vyao hvitakuwa na mwisho mwema ,tamaa ya mali na vyeo mpaka kuua si sawa

Kama yeye alivyoua na saa hii yuko motoni. Lilikuwa jitu dhalimu na katili.
 
Mwendawazimu ni tafsiri yako ,hata mimi ukoo wenu huuita mataahira clan,ni perception tu
Alikua Mwendawazimu acha kutetea wandawazimu mkuu.
Sabaya anasema alitumwa kufanya aliyoyafanya na Mwendawazimu.
Mwendawazimu kamponza Sabaya kafungwa miaka mingi sana.
 
Back
Top Bottom