Nimeamini mapenzi Konyo(yanakeraaaaaa)

Nimeamini mapenzi Konyo(yanakeraaaaaa)

Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.

Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake unaiona inaita alafu badala uipokee ,unaipotezea.Unajua kabisa message hii ya mtu anakupenda badala ujibu unaipotezea.

Of course basi unaweza kusema ubize wa kazi umekufanya uchelewe kupokea simu yangu au kujibu jumbe zangu nikakuelewa.

Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.

Lakini kitu kinachoniuma ni kwamba mtu huyo huyo anayesema kwamba yeye sio rafiki wa simu, sio mtu ambaye anaweza kutumia simu kila mara NDYO huyo huyo anayejibu Kila meseji inayoingia katika simu yake.Kila muda yupo katika mitandao chungunzima anaperuzi tu ,Kila notification inayoingia anataka kuiangalia.

Alafu wewe ukiwa mbali na Mimi unaanza kusema kwamba wewe sio rafiki wa simu, sio mtumiaji mzuri wa simu.Huu ni upumbavu ndugu yangu.

Alafu na nyie mnaopenda kujibu vifupi unatumiwa salamu unajibu "Pw" au "P".Unatumiwa text ndefu badala ujibu unasema "kumbe" "Aisee" nyie akina naniliu nawaambia IPO siku yenu mtalia na kusaga meno.View attachment 2499601
View attachment 2499603
Kua mvumilivu kijana hivyo ni vitu vidogo saaaaaaana ongeza mbinu uweze kumteka akili yake unaoneka bado hujafanikiwa kwa hilo
 
Huku ndoa huku mapenzi mada n mbili tu[emoji16][emoji16][emoji16]kitaeleweka mwaka huu, ndo Kwanza tupo njanuaree
 
Pole sana. Tafuta mpenzi mwingine. Hali kama hiyo ikifikia, asikudanganye mtu oonh kua sijui ofisini kwangu wafanya kazi hawashiki simu, ooonh endelea kupambana.
Ndugu, kaza moyo, tafuta jarung’ombe jingine. Utaumia ila tafuta, hapo utaumia zaidi.
 
Back
Top Bottom