Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Kama kweli Speed ya Lowassa hakuna binadamu yeyote yule awezaye kuizuia

Basi huyo Lowassa sio bindamu wa kawaida ni MASIHA.

Kama Lowassa ni MASIHA basi UFALME wake sio wa hapa duniani bali MBINGUNI.

Sasa kama UFALME wake ni wa mbinguni kwanini Lowasaa anahangaika sana na ufalme wa hapa duniani?
 
Nimeona umakini mkubwa sana kwa Lowassa na kambi yake. Hawakurupuki, hawaropoki ovyo hawajibu tuhuma hovyo, wamejipanga vya kutosha na wako makini sana.

Sijawahi ona Lowassa akikurupuka kujibu tuhuma.
Sijaona Lowassa akisema sema hovyo.
Sijaona Tuhuma iliyothibitisha wazi kama Lowassa ni mwizi

LOWASSA
Amekuwa mtu makini sana
Mwenye msaada mkubwa kwa jamii
Mwenye kusikiliza
Anayesaidia vijana
 
Si wote wanamtazamo kama wako juu ya huyo Lowasa na kutofautiana kimtizamo ni sifa moja wapo ya binadamu, kwa mtizamo wangu Lowasa anabaadhi ya hizo sifa ulizotaja.Pia Lowasa anaweza kuingia ikulu kama ataweza kazi ya kushawishi wana CCM wenzake wampitishe kuwania hiyo nafasi rahisi ya Urais na kufikia hapo itahitajika nguvu kidogo tu kuingia ikulu.
 
Wakati mwingine muwe mnapima hata ni wakati gani wa kuleta hadithi za kumsifia mtu kama marehemu. Edward huyu tunaemjua au kazaliwa upya? Anyway, najua umeshapata mshahara wako.
 
Tupeni ela yetu ya EPA na RICHMOND kwanza
 

Wee utakuwa mmoja wa wale waliopigishwa magoti naye wakinyonya mapumbbu yake.
 
Eberthed
Mbingu na nchi zinatambua hill dunia itarajie ujio was malaika mtk toka mbinguni 2015
Napenda niwajulishe leo lowassa aongizwi na mapepo kamayanayokurupuka
Chaguo la Mungu chaguo la watu
Amen
 
Baraf🙂 u
Sidhani masinia wanafikia kuandika matusi badala yanhoja toa hoja kazia hoja watu waitafakari hoja matusi si sehemu yake jf esp Sr member
 
Tusiende mbali ,Lowasa hatujamsikia akilaani ni jinsi gani BMK limeipitisha rasimu ya Katiba kiwizi na kinguvu bila hata ya 2/3 kupatikana ,LOwasa kakaa kimya ,mbona wapo Miccm iliyoamua kusema kweli japo ilizidiwa nguvu lakini walinyanyua kauli akina Kiguru na wengine wakipaza sauti juu ya uwoza wa katiba ,Lowasa kuna kitu alisema zaidi ya kuufyata na kungojea eti agombee Urahisi.

Leo kuna Escrow open and clear ,Lowasa amenyanyua sauti ? Kusema chochote angalau wananchi wakasema Lowasa ameanza ,hamna kitu hatujamsikia wala hajasikika ,hivi ndio ataweza kuwatia nguvuni wezi na wahujumu uchumi ,ni bora ajisafishe ,hivi amewahi kukanusha ule urichmond aliohusika yeye ni kinara wa kazia ile,tafuta international media utamuona Lowasa ndie mhusika mkuu.
 

Ni kweli, spidi yake hakuna wa kuizuia. Kama ni ndege, itakuwa na kasi sana, badala ya kutua magogoni, inapitiliza inaenda potea huko deep sea kwenye international waters.
 

Mkuu umesema kweli kwa hawa wapambe. Hivi mtu ambaye mtaani hawezi kukemea au kuchangia lolote kuhusu tabia mbaya za vibaka wezi na wabakaji mtaani kwake, yeye yuko kimya tuu ila anasema wakati ukifika lazima agombee uenyekiti wa mtaa maana yeye ndio kiboko ya vibaka na wezi hapo mtaani sii utaahira huo?
Nimetoa mfano wa kitoto sana ili hao watoto wapambe waelewe. Mtu unapewa vijisenti utangaze kuwa jua linachomoza kusini kwenda kaskazini nawe kama zuzu unakomaa kabisa.
 
Lowassa ni mtu makini. Anayetambua ana maadui wengi hasa ndani ya chama. Chochote atakachosema mtamsema kwa baya. Ndiyo maana ameamua kukaa kimya. Lowassa haongei hovyo. Anayajua majira ya nyakati. Anapendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi. Vox populi vox dei
 
Mumesahau ya lowasa eeh..subirini aingie ikulu wauze kabissa
 

Mkuu ulicho
sema ni kweli kabisa nakuunga mkono kwa 1000%. CCM juu.
 

una rekodi yeyote kuhusu wewe kuota na ulichoota kuja tokea upande wa mambo ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…