Nimeamini kweli njaa haina baunsa!

Nimeamini kweli njaa haina baunsa!

Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
498
Reaction score
127
Jamaa kawakanyaga watoto mikono ili ashibe kwanza yeye!
 
nadhani anawaadabisha kwa kosa fulani...labda wamechelewa kufungulia mbuzi ama wameruhusi mifugo iingie katika mashamba ya watu...maana siha zao hazionyeshi km wanakabiliwa na njaa.
 
Dah!jamaa ni noma,kanyagia mikona mbaya alafu yeye mwendo mdundo na sosi!aiseeee!
 
uyu jamaa labda yule mzee Tola coz nyayo zake hazina tofauti, sa akinigwa nani atampa maji?
 
Huyo atakuwa kutokea Kilimanjaro halafu ni magwanda!
 
Back
Top Bottom