Unampa Demu 53 nauli 45 .Kwema?
Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.
Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.
Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.
Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela
Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,
Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.
Huyu hata aki ni cheat simuachi.
Ndio mkuu nilikua na elfu 90 tuu so nilimuambia sina hela nakutumia nauli na elfu 5 ya kula akakubaliUnampa Demu 53 nauli 45 .
So asile njiani.
Asibaki na akiba yoyote .
Unamdai mwanamke laki.
We mwanaume Tafuta hela
Uko sahihi saana mkuu huyu wangu ni muelewa saaanaNilichoona kwako wewe n Mpambanaji,hayo mengine ni nyongeza tu.
Mpambanaji hakosi,na zaidi anapata akiwa na mwanamke asiempresurize.
Mwanamke unamwambia Huna,anakuelewa..Hupati mawazo lazima mambo yatiki kwasababu hufanyi kazi kama una deni.
ila hao wengine usipompa anaongea au asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
Jamani๐๐๐๐๐asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
Mpambanaji ni yupi huyo...?Nilichoona kwako wewe n Mpambanaji,hayo mengine ni nyongeza tu.
Mpambanaji hakosi,na zaidi anapata akiwa na mwanamke asiempresurize.
Mwanamke unamwambia Huna,anakuelewa..Hupati mawazo lazima mambo yatiki kwasababu hufanyi kazi kama una deni.
ila hao wengine usipompa anaongea au asipoongea atakuacha na jibu ambalo hata utafuteje kuipata shilingi ni mbinde..
Hapana nitajenga alafu nitaishi naeMpe kiwanja ulichonunua Kibaha upate pesa ya kujenga ghorofa
Ndio,si tunategemea bahati ya mchumba ๐Ampe kiwanja ili ajenge gorofa sio๐๐๐
Ukiona kila unalofanya linafanikiwa ujue siku yako ya PARAPANDA imekaribia. Hayo ndio MAOKOTO yako ya mwishomwisho ya bajeti yako uliyowekewa hapa chini ya jua.Kwema?
Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu.
Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko vibaya daah akaniambia ataniombea mpaka jioni nitapata hyo hela huwezi amini kabla ya kufika jioni nilipata kama 150k nikamtumia 40k jioni.
Siku nyingine akaniambia anataka kuja kunisalimia nikamuambia njoo hapo nilikua na back up ya elfu 90 tuu nauli yake ni 45k nikamtumia 53k akaja nikawa na kama 37k tuu kama back up kakaa kwangu week huwezi amini nilikua napata hela mpaka nikapata na nauli ya kumpa nikampa 48 mimi nikabaki na elfu 2 tuu akarudi daah kuna mtu nilikua namdai laki moja akanitumia daah nikashangaa saana.
Kila nikimuambia mipango yangu inatiki na akiniomba hela nikimpa lazima nipate hela
Kila baada ya siku 3 namuumgiaga kifurushi cha 3000 na sijawahi kuishiwa ,
Hitimisho kama ni maendeleo nimesogea sana na kiwanja shanunua kibaha 3m yaani mambo ni mengi mpaka nashangaa aisee.
Huyu hata aki ni cheat simuachi.
Pale mchumba atakapouza uwanja na kupotelea kusikojulikana๐๐Ndio,si tunategemea bahati ya mchumba ๐