mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,106
- Thread starter
- #61
Mimi si muamini, bahati mbaya mke wangu ni muamini hivyo huwa nalazmika kuskiliza nyimbo nyingi za dini napokuwa nyumbani, huyu dada nyimbo zake nyingi zimekaa kimajungumajungu, zipo chache nazozipeta zina mziki mzito wa taratibu kama rhumba vile, yaani kama unaskliza kanda bongoman, huwa zinanivutia, lakini ujumbe ndani sifuri.
Ni Mtazamo Wako Mkuu, Jaribu Kusikiliza Tena Kwa Makini Kuna Ujumbe Anaubeba Kwenye Nyimbo Zake