Nimeamini! Huyu Mwanadada Amebarikiwa....!

Nimeamini! Huyu Mwanadada Amebarikiwa....!

hao kina bukuku zilipendwa sasa hivi wapo vijana wanaimba injili balaa hebu tafuta album za NEEMA JEKONIA CHAVALA na ENOCK JONAS halafu njoo utupe ripoti.

Sawa Mkuu, Nitazitafuta, Kumbe Kuna Wakali Zaidi!
 
Kweli huyu ni jizi.Kwanini album hiyo hakumuachia kondakta wa dala dala ili iwapo mwenye mali akiitafuta aikute pale.

Mkuu, Kama Ningemwachia Konda Nisingeisikiliza, Kama Nisingeisikiliza Nisingeelimika, Nakama Nisingeelimika Nisingeamini Pia, Mimi Wala Sijutii Kwa Hilo
 
Si tunaongelea ujumbe zilipendwa au hazikupendwa sio kesi na jonas huwez kumlinganisha na bukuk.
 
Album mbovu...mm nilisikiliza mara moja tu...na cd nimeigawa.....cha msingi akaimbe tu bongo fleva
 
Bukuku yuko juu tangia anaanza hii kazi ya kuhuburi kupitia nyimbo. Album zake zote ninazo, namkubali sana huyu mwanadada

bila kumsahau CHRISTNA SHUSHO naye ni jembe hatareeee!
 
Du na mimi Rose Mhando kanishika pabaya
Hasa UTAMU WA YESU
na zile picha zake za kuyaenzi maBangalow ya TEMBE
 
haya sikiliza kwa makini na uokolewe kutoka huko uliko
 
Unasikiliza nyimbo za injili na bado hujisikii kurudisha CD ya watu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom