Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Wanaume wanaoibiwa wanaibiwa na nani kama sio wanaume wenzao?
Wazee wa Kizanaki wenyewe waliokuwa wanajua hii habari washajifia wote.Hahaha....
kwa hiyo Baba wa Baba anafahamika? tofauti na Q-Chief...
Mkuu nimebakiWazee wa Kizanaki wenyewe waliokuwa wanajua hii habari washajifia wote.
Ukikutana na Watiama wazee wazee wale wanajua story ya Bibi Mgaya alikimbia kutoka kwenye court ya Chief kwa sababu kulikuwa na sheria sana. Akatokomea kwa muda Fulani. Alipotumiwa watu kumtafuta na kurudi akwa ana mimba change tayari. Miezi aliyokaa mpaka kujifungua ikaonyesha ile mimba ilitungwa wakati alivyokuwa kachepuka.
Chief Burito mwenyewe alifurahi tu mke wake mdogo kurudi na habari za mtoto hata hakujali sana. Kizanaki ukipata mtoto ambaye hujamfanyia kazi ni kama faida.Tatizo ni kama mwanamke hazai mtoto.
Edward Wanzagi alikuwa anajua hii habari. Lakini alimpenda sana Kambarage. Akasema Mzanaki yeyote atakayeongelea habari hii tutaomtoa kunidni (sort of like excommunicate) kwa sababu ingemuaibisha baba yake Chief Burito.
Hata katika sakata zima la Kambarage Nyerere kusomeshwa Chief Burito alikuwa hataki kumsomesha Kambarage. Ila Edward Wanzagi (Crown Prince wa Wazanaki wakati huo) ndiye aliyemshawishi sana baba yake (Chief Nyerere Burito), akamwambia Chief kwamba amemtizama Kambarage (Enzi hizo Kambarage ni katoto tu, Edward Wanzagi ndiye kaka mwenye influnce) Edward Wanzagi akasema amemtizama Kambarage navyokaribisha wageni nakuongea naona kumuona ama ana akili sana na atasadia sana siku za mbeleni.Edward Wanzagi akasema Kambarage anafaa kusomeshwa.Chifu Nyerere Burito alimpenda na kumuamini sana Eward Wanzagi, hivyo akamkubalia. Ndiyo Kambarae Nyerere (kabla ya kubatizwa Julius hapo) akapewa nafasi ya kusoma na familia yake.
Kwa habari Zaidi tafuta kitabu cha "Nyerere:The Early Years" cha Thomas Molony katafute wazee waKizanaki waliobaki
Wenye kuongea wataongea mpaka habari za kichaa cha ukoo wa Nyerere ambacho kama unasoma vizuri comments Andrew Nyerere hapa JF, au unamjua Andrew personally, utakiona.
DNA haisaidii,nasikia ukienda pima DNA lazima uambiwe mtoto ni wako,ni mpango wa kupunguza watoto wa mitaani.wanajua ukiambiwa sio wako utamtelekeza na kuishia kuwa street child.so siku hz DNA sio suluhisho.Dna iwe free tu maana tunaumizwa sana sisi wana wa Adamu
Unaonekana km mtu wa musoma vile..anyways unachoongea ni kweli mm ni mtu wa huko ni mwikizu nliekaa butiama had nyerere namfaham..wazee wanasema ni kwel bwn previous prezdent hakua biological kid wa chief na that clan sjui wana matatizo gn wana vichaa sanaaaWazee wa Kizanaki wenyewe waliokuwa wanajua hii habari washajifia wote.
Ukikutana na Watiama (Wazanaki wa Butiama) wazee wazee wale wanajua story ya Bibi Mgaya alikimbia kutoka kwenye court ya Chief kwa sababu kulikuwa na sheria sana. Akatokomea kwa muda fulani. Alipotumiwa watu kumtafuta na kurudi akawa ana mimba changa tayari. Miezi aliyokaa mpaka kujifungua ikaonyesha ile mimba ilitungwa wakati alivyokuwa kachepuka.
Chief Burito mwenyewe alifurahi tu mke wake mdogo kurudi na habari za mtoto hata hakujali sana. Kizanaki ukipata mtoto ambaye hujamfanyia kazi ni kama faida.Tatizo ni kama mwanamke hazai mtoto.
Edward Wanzagi alikuwa anajua hii habari. Lakini alimpenda sana Kambarage. Akasema Mzanaki yeyote atakayeongelea habari hii tutaomtoa kundni (sort of like excommunicate) kwa sababu ingemuaibisha baba yake Chief Burito.
Hata katika sakata zima la Kambarage Nyerere kusomeshwa Chief Burito alikuwa hataki kumsomesha Kambarage. Ila Edward Wanzagi (Crown Prince wa Wazanaki wakati huo) ndiye aliyemshawishi sana baba yake (Chief Nyerere Burito), akamwambia Chief kwamba amemtizama Kambarage (Enzi hizo Kambarage ni katoto tu, Edward Wanzagi ndiye kaka mwenye influnce) Edward Wanzagi akasema amemtizama Kambarage navyokaribisha wageni nakuongea naona kumuona ama ana akili sana na atasadia sana siku za mbeleni.Edward Wanzagi akasema Kambarage anafaa kusomeshwa.Chifu Nyerere Burito alimpenda na kumuamini sana Eward Wanzagi, hivyo akamkubalia. Ndiyo Kambarae Nyerere (kabla ya kubatizwa Julius hapo) akapewa nafasi ya kusoma na familia yake.
Kwa habari Zaidi tafuta kitabu cha "Nyerere:The Early Years" cha Thomas Molony katafute wazee waKizanaki waliobaki
Wenye kuongea wataongea mpaka habari za kichaa cha ukoo wa Nyerere ambacho kama unasoma vizuri comments Andrew Nyerere hapa JF, au unamjua Andrew personally, utakiona.
Na wewe gonga upate katoto basi au vipi?Mada husika inajieleza leo nikiwa nimejikalia sehemu napata moja moto moja baridi aakapija mdada ambaye namfahamu uzuri nikamnunulua bia mbili ndo akanipa kitu ambacho sijawahi hata fikiri ikuwa hivi.
Huyu dada ni mfanyakazi serikalini na aliolewa mwaka juzi baada ya kupata ujauzito na kumwambia maboyfriend wake ni yake na jamaa bila hiana akakubali coz alikuwa anapiga mzigo mimba ikiwa na miezi saba huyu dada akakomaa jamaa akabariki ndoa tena ya kanisani.
Baada ya hapo mtoto akazaliwa wa kiume ambaye kafanana na mama yake mama yake akafurahi sana kumbe bwana huyo mtoto alikuwa si wa huyu aliyemwoa alikuwa wa mume wa mtu na huyu dada ameniambia baada ya kunikuta nakunywa konyagi nikamkaribisha akaniambia situmii hiyo mpaka nijifungue coz si nzuri kwa hali yake nikamuuliza shemeji kashafanya yake akanijibu ndiyo.
Na akaongeza unajua nimeamua nimzalie damu yake coz yule si wake ni wa mtu mwingine amabaye ni mume wa mtu na akaongeza ile ranvi aliyokuwa nayo na lile bichwa ni la baba yake huyo mume wa mtu nikamuliza kwanini uamue kumfanyia hivyo akajibu nilikosa cha kufanya coz aliyenipa mimba ni mume wa mtu ningefanyaje ikabidi nifanye hivyo.
Ila nashukuru baba yake halisi namjali mwanae ila jamaa hajui baada ya kuniambia hayo akaanza kutaharuki NAKUOMBA USIMWAMBIE MTU oooh siri hii sijui imekuwaje nikuambie oooh! Nisamehe alihaha mpaka nikamwonea huruma ila ndo hivyotena na kanipigia simu sasa hivi ananisisitiza iwe siri yangu, lakini na mimi ni mwanaume nina watoto nikastuka na kusema niwaambie nanyi mlitambue namuone jinsi gani hawa baadhi ya wanawake wanavyotufanya. DNA waweke utaratibu wa KUTUSAIDIA HAWA BAADHI YA MAFEDHULI WAACHE TABIA HII MBAYA.
Soma ikikugusa comment haijakugusa kaa kimnya usitukane haitakusaidia wewe hata mimi.
Duuh una roho ngumuAunt yangu aliniambia ukishamwambia mwanaume hii mimba ni yako akakubali basi hata kama utafahamu si ya kwake komaa mpaka unaingia kaburini. Huyo mwanamke hakufanyiwa kitchen party, kama mambo yameitika mpaka ndoa ya kanisani unafunua mafile ya nyuma anatafuta nini? anazidi kulikoroga kuwasiliana na mume wa mtu ambae ni baba halisi. Angefunga wote midomo akakomaa na ndoa yake.
Dawa ni kwenda kupimia burundi au rwanda[emoji3] [emoji3]DNA haisaidii,nasikia ukienda pima DNA lazima uambiwe mtoto ni wako,ni mpango wa kupunguza watoto wa mitaani.wanajua ukiambiwa sio wako utamtelekeza na kuishia kuwa street child.so siku hz DNA sio suluhisho.
vumilia hizi touch hizi zina balaaJaman jaman,hivi uku kuandika hamjui au ni MAKUSUDI.???
Au ni hizo simu hamjui ivyo vitufe jinsi ya kubonyeza,au ni ayo ma'touch screen yenu yamekufa.???
PUMBAVU.!