mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,765
muombe mzigo na wewe u test
Siyo siri coz toto linafanana na mama yake kumbe ni la baba mwingineDna iwe free tu maana tunaumizwa sana sisi wana wa Adamu
Na wanakaa kimya tu unavyohangaika kulea toto la mwanaume mwenzio,yeye anakucheck na kukung'ong'a bila hata mshipa wa aibuSiyo siri coz toto linafanana na mama yake kumbe ni la baba mwingine
Hata baba yenu wa taifa si mtoto wa Chifu. Kuna watu walimsaidia tu Chifu kwa kuwa alikuwa na wake 22.
Ila ujiko wa ubaba wa Baba wa Taifa anaupata Chifu mpaka leo.
Hata ikiwa free, bado haipunguzi ile 49% ya wanaume wanalea watoto si wao...Dna iwe free tu maana tunaumizwa sana sisi wana wa Adamu
nawaza tu na nyie mngekua mnabeba mimba sijui kama asilimia 90 ya watoto wangelelewa na wahusika!
Na zivunjike tu bora kubak na ndoa chache zenye maana badala ya kuwa na ndoa nyiiiingi fekiHata ikiwa free, bado haipunguzi ile 49% ya wanaume wanalea watoto si wao...
Hii ni hatari wanawake wanatuweza sana ,ila hakuna namna tukichukua DNA za watoto wetu 60% ya ndoa zitavunjika hapo hapo
49% ya wanaume, nadhani ni sahihi zaidi49% ya mwanaume Tanzania wanalea watoto ambao sio wa kwaoo....
Haijakaa sawa,,,,, ni hivi 49% ya mwanaume Tanzania wamesingiziwa watoto, na wanawalea walidhani ni wa kwao.
uku=hukuJaman jaman,hivi uku kuandika hamjui au ni MAKUSUDI.???
Au ni hizo simu hamjui ivyo vitufe jinsi ya kubonyeza,au ni ayo ma'touch screen yenu yamekufa.???
PUMBAVU.!
Anaweza akaja niambia hiyo mimba ni yangu ngoja keanzaMuombe mzigo kumukomoa na yy!!
Absoluteuku=huku
ivyo=hivyo
ayo=hayo.
Usirushe mawe nyumba ya mwenzio ilhali wewe mwenyewe unaishi nyumba ya kioo..............
yale yale kuita wana wa watu vilaza huku nyumbani na wewe unalea kilaza.