MZEE SERENGETI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 214
- 10
Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua tukasahau KONDOMU,SASA NIMEJIKUTA NA MAGONJWA YA ZINAA.NINA UHAKIKA YEYE NDIO KANIAMBUKIZA SIJAMWAMBIA,SASA NIMUACHE AU NIMWAMBIE.NISAIDIENI.
We kweli *****, unasubiri upewe ushauri wakati kikojoleo kinaelekea kukatika?
Mwambie sasa hivi, nenda kituo cha afya mpimwe muanze dozi ya antibiotics (achana zahanati za uswazi, usiache dozi, weka kojoleo lako mapumzikoni kwa muda)
<br />E bwana serengeti pole sana ndg yangu,mi nakushauri muende wote hospitalini ili mtibiwe wote then muendelee na uhusiano wenu kumwacha siyo suluhisho la tatizo,pia elewa kuwa kuna baadhi ya magonjwa ya zinaa yanaambukizwa hata kwa kushare choo au maji maji ya yenye wadudu wa ugonjwa kama kaswende ukiyagusa ni rahisi kuambukiza kwa mfamo baadhi ya vyoo vya public kama bar au mahoteli ni sehemu ambazo ni rahisi kupata uambukizo,be wise usiwe mwepesi wa kulaumu,<font color="#ff0000">KAMA UKO DAR NENDA NAE MBEZI KWA MSUGURI KWA DR GODFREY CHARLES ni bingwa wa magonjwa ya akina mama na baba.<br />
<br />
</font> KIZURI KIKICHAFUKA USIKITUPE TAFUTA NAMNA YA KUISAFISHA.
wana.jf nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia kondomu,ikafikia hatua tukasahau kondomu,sasa nimejikuta na magonjwa ya zinaa.nina uhakika yeye ndio kaniambukiza sijamwambia,sasa nimuache au nimwambie.nisaidieni.