Nimeambukizwa magonjwa ya zinaa na mpenzi wangu wa chuo kikuu (nisaidieni cha kufanya)

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua tukasahau KONDOMU,SASA NIMEJIKUTA NA MAGONJWA YA ZINAA.NINA UHAKIKA YEYE NDIO KANIAMBUKIZA SIJAMWAMBIA,SASA NIMUACHE AU NIMWAMBIE.NISAIDIENI.
 
mh wewe!kisonono?kaswende?ukimwi? ulikuwa umepima ukimwi? kuna uwezekano mkubwa unao!!kama ni hayo mengine chukua mwenzako mkatibiwe na mpime ukimwi!!!umwache ukaambukize wengine?chukua mwenzako mwende kwenye tiba na ushauri nasaha!
 
Mwambie na muende wote kwa daktari na mfanye vipimo vyote hadi hiv ili mpate ushauri hata kama ni ule wa kuishi kwa matumaini.
Na huko chuo ulienda kusoma au kufanya ngono tena ngono zembe?
 
fasta mwambie mwenzio afu mkamuone dakari ili awapatie tiba na ushauri ikiwezekena......
 
Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua tukasahau KONDOMU,SASA NIMEJIKUTA NA MAGONJWA YA ZINAA.NINA UHAKIKA YEYE NDIO KANIAMBUKIZA SIJAMWAMBIA,SASA NIMUACHE AU NIMWAMBIE.NISAIDIENI.

E bwana serengeti pole sana ndg yangu,mi nakushauri muende wote hospitalini ili mtibiwe wote then muendelee na uhusiano wenu kumwacha siyo suluhisho la tatizo,pia elewa kuwa kuna baadhi ya magonjwa ya zinaa yanaambukizwa hata kwa kushare choo au maji maji ya yenye wadudu wa ugonjwa kama kaswende ukiyagusa ni rahisi kuambukiza.

Kwa mfamo baadhi ya vyoo vya public kama bar au mahoteli ni sehemu ambazo ni rahisi kupata uambukizo,be wise usiwe mwepesi wa kulaumu,KAMA UKO DAR NENDA NAE MBEZI KWA MSUGURI KWA DR GODFREY CHARLES ni bingwa wa magonjwa ya akina mama na baba.

KIZURI KIKICHAFUKA USIKITUPE TAFUTA NAMNA YA KUISAFISHA.
 
Pata matibabu na umwambie ukweli wa yaliyokutokea ili na yeye akapate matibabu.
Anaweza kuwa hajui kuwa anaumwa kwani sio magonjwa yote ya zinaa yana dalili za wazi hasa kwa wanawake.
 
..........mkatibiwe wote na kupima pia maana yawezekana mna mengi mmeambukizana...
 
Yes anaweza kawa kakuambukiza yeye lakini si lazima kwamba amepata hayo magonjwa sababu ya ngono. Matumizi ya vyoo na bafu za kushare zinaweza kumfanya mtu apate haya magonjwa ya STD. Tena ukizingatia congestion mavyuoni na usafi holela ambapo hamna dawa za kusafishia then si ajabu mtu akapata haya maambukizi. So chukua tahadhari usije ukapoteza mwenza wako mwaminifu, fanya uchunguzi kwanza. Usitoe conclusion inawezekana wewe ndio source...
 
We kweli *****, unasubiri upewe ushauri wakati kikojoleo kinaelekea kukatika?
Mwambie sasa hivi, nenda kituo cha afya mpimwe muanze dozi ya antibiotics (achana zahanati za uswazi, usiache dozi, weka kojoleo lako mapumzikoni kwa muda)
 
We kweli *****, unasubiri upewe ushauri wakati kikojoleo kinaelekea kukatika?
Mwambie sasa hivi, nenda kituo cha afya mpimwe muanze dozi ya antibiotics (achana zahanati za uswazi, usiache dozi, weka kojoleo lako mapumzikoni kwa muda)

haaah haaah yani hapa umetoa ushauri wa maana ila kwa staili ya kipekee, kumchana live.
Kweli MMU ni shule haswaaaa!
 
E bwana serengeti pole sana ndg yangu,mi nakushauri muende wote hospitalini ili mtibiwe wote then muendelee na uhusiano wenu kumwacha siyo suluhisho la tatizo,pia elewa kuwa kuna baadhi ya magonjwa ya zinaa yanaambukizwa hata kwa kushare choo au maji maji ya yenye wadudu wa ugonjwa kama kaswende ukiyagusa ni rahisi kuambukiza kwa mfamo baadhi ya vyoo vya public kama bar au mahoteli ni sehemu ambazo ni rahisi kupata uambukizo,be wise usiwe mwepesi wa kulaumu,<font color="#ff0000">KAMA UKO DAR NENDA NAE MBEZI KWA MSUGURI KWA DR GODFREY CHARLES ni bingwa wa magonjwa ya akina mama na baba.<br />
<br />
</font> KIZURI KIKICHAFUKA USIKITUPE TAFUTA NAMNA YA KUISAFISHA.
<br />
<br />dk charles unajua kujitangaza!
 
wana.jf nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia kondomu,ikafikia hatua tukasahau kondomu,sasa nimejikuta na magonjwa ya zinaa.nina uhakika yeye ndio kaniambukiza sijamwambia,sasa nimuache au nimwambie.nisaidieni.

asa kuandika chuo kikuu ili iweje?tujueje au ulikuwa unamaanisha nini?chuo kikuu nao ni wazinzi kama watu wengine ambao hawajabaatika kwenda darasani,jitahidi ukatubu kwa mungu kwa ajili ya uzinzi uliofanya na umwambie mwenzako kama anakupenda kweli muoane haraka ili msiwe wazinifu.nenda hospital mkatibiwe wote..
 
hayo ndo matatizo ya wapenzi mnatumia kinga miezi 3 then mnajifanya mmezoeana saaaaaaaaaaaaana!!!!!!!
kwanza tibu hilo gonjwa, na upime kipimo KIKUBWA. pia zungumza na mpenzio mkapime maradhi yote.

siku nyingine ukome kuvua condom. waliposema kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu aliyepimwa hawakukosea
 
WanaJF,naomba mnielimishe unawezaje kuepuka maambukizo ya STD kwa kushare public toilet, n zip njia sahih za utumiaji hivi vyo bila kuambukizwa?
 
yuko wapi huyo mzee serengeti, mbona kajificha kupokea ujumbe wake.? Kama upo naomba nijue huyo mpenzi wako yuko chuo gani then ntakuambia namna gani hawa she/he wa chuo walivyo na how to avoid kukuambukiza.! Nyw kapime na upate tiba ya magonjwa yako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom