Nimeambiwa nirithi mke wa kakaangu

Nimeambiwa nirithi mke wa kakaangu

Usiku wa Harusi.

"Mi nilifikiri kwavile ndugu inabidi mfanane"

"Kivipi shem oops I mean mke wangu?"

"Basi tu..."

"Jamani tushakua mwili mmoja niambie basi"

"Umetoa wapi kibamia? Kaka yako hakua hivyo"

Me

images.jpeg
 
Oa tu uendeleze kizazi
Kama wote wako radhi ni sawa tu

Life is too short
 
Mimi binafsi siwezi nika-go through with that. Ila ntahakikisha she is well taken care of, since she is family.
Taking care of bila dudu, huyo binti bado mdogo lazima atahitaji huduma ya kiunyumba
 
Sio mke wa kaka yako kaambiwa akurithi ww baada ya familia kukuona domo zege?
nimecheka sana baada na kukutana na hii coment iliyofungua dimba.
We jamaa sijui umewaza nini
 
Nakumbuka kazi ya Ngugi WaThiong'o *the black hermit* mwenzio Remi alikimbia
 
Kweti hii tabia haipo. Usifanye hivo bhana wanawake ni wengi mwambieni azae nje ila watoto mumuhesabu kama wa kaka yenu hio ndio iko powa
 
Back
Top Bottom