Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Hapana jamani hebu njoo huku tuteteMwenyewe mekumiss basi tu umetupa jongoo na mti wake
Hapana jamani hebu njoo huku tuteteMwenyewe mekumiss basi tu umetupa jongoo na mti wake
Ni Muongo huyooo labda kama ndio gia anayotafutia mabinti aliyeokoka hawez kuja jamii forum kusaka mchumbaUsilazimizshe mkuu yeye anasema kaokoka!
Habari za leo wana JF. Mimi ni kijana wa miaka 33 na sasa nimeamua kuoa. Mimi nina elimu ya chuo kikuu, nimeajiriwa, na ni Mkristo niliyeokoka. Napenda kujituma katika malengo mbali mbali ya maisha na kwa jinsi hiyo nimepata mafanikio mbali mbali.
Badala ya kueleza mlolongo wa sifa za ninayemtafuta, mimi naamua kutoa nafasi kwa mwanamke yeyote aliye na nia ya kweli anitumie PM akieleza upande wake. Maelezo mazuri yatanivutia kuongea na mhusika na natumaini tutafikia mwafaka. Niko serious sitanii
🙂😉🙁😵Kanisani kuna mabinti kibao wanakesha wakiomba kupata waume, we unakuja kutafuta huku!!! Nenda kasaidie kujibu maobi ya dada zetu huko, ukikosa huko ndo uje huku.
Kila la kheri mkuu! Ila vizur ungetumia prominent IDD!Kwani kuokoka tatizo jamani? Wapo tunaowataka hao walokole. Usikate tama mkuu, mkeo yupo atakufuata tu!