Mkuu wa jeshi
Member
- Feb 3, 2017
- 28
- 10
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm cjaokoka ujueDah!ilikuwa fursa nzuri sana kwangu
Ila tatizo hapo ulipoandika umeokoka ndio niliposhindwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm cjaokoka ujueDah!ilikuwa fursa nzuri sana kwangu
Ila tatizo hapo ulipoandika umeokoka ndio niliposhindwa
Tatizo wewe ni mkuu wa jeshi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm cjaokoka ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] awe kama ww ,awe na namba ya CMU na asipende pesaSifa za unaemtaka ni zipi?
Tehteh Nilikua napendaga mlokole... Nilikua ( past tenseKosa kubwa tu ulilofanya
N kusema umeokoka
Ungekuta pm yako ishafloot
Wadada wa jf hawatakag walokole bhn cjui walifanywaga nn na hawa watumish wa mungu
Sadaka Sadaka Sadaka.. Uchumi wenyewe unazid kutitia khakhaakhaaWengi wao wamekaa tu
Kibiashara
[emoji41] ata manabii wengi wametoka katika vizazi va jamii zilixopotea kwahiyo! Huenda ngozi yako haitakuja kuonja hata kibao changuTatizo wewe ni mkuu wa jeshi
Asa siku nikikuboa si utaniua asee
siungi mkono hoja[emoji23]hao wanaoomba usiku na mchana wengi umri umewatupa mkononenda kanisani wapo wengi hawajaolewa wanaomba usiku na mchana waolewe
[emoji41] ata manabii wengi wametoka katika vizazi va jamii zilixopotea kwahiyo!
[emoji125] [emoji125] [emoji2] [emoji2] atageuka nyani shauri yakeMkuu umeokoka harafu umeshindwa kumwambia mungu hitaji lako unakuja jf kutafuta mke usilitaje jina bure la bwana mungu wako
[emoji85] ucjali mm nimtendaji zaidi kuliko maneno naiman utanielewaMmmh!aya japo sijakuelewa
Tatizo thread yake haijakaa kiutani so huwenda anamaanisha kaokoka
NapendaWewe hupendi kuiona paradiso nn?