mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,287
- 1,851
Siku hizi hutumia kigezo hicho kuepuka wapiga dili maana asiposema hivyo atapata fasta wakamuaji .waliokoka kiukweli huwa hawatumii hii njia mke mwema utoka kwa bwana.Brother aseme tu anataka sifa hipi sio asingizie aliye okokaDah!ilikuwa fursa nzuri sana kwangu
Ila tatizo hapo ulipoandika umeokoka ndio niliposhindwa