Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,886
- Thread starter
-
- #121
ubarikiwe kakaMkuu mbona kakupa nafasi yakua bora than ulivyokua jana
Kakupunguzia gharama zisizokua za lazima kama vile mitoko,kumtumia credit , vizawad vya kushtukiza ,na kupoteza mda mwing bila kufanya cha malengo
Kwasasa jikite zaid ktk kukamilisha malengo yako ya kimaendeleo the right one will come along
Don't ever try to bring her back it will be even more painfull nautampa yeye zaid comfidence yakuona you can't survive without her
So its upon to you to continues engaging with her and make ur self a real loser or moving on......
Utaendelea kua reported na kua banned hadi.hapo.akili itakapokaa sawa.Unamuuliza nani sasa?rubbish
Utaendelea kua reported na kua banned hadi.hapo.akili itakapokaa sawa.
Huwezi kuwa sawa kirahisi hivi kuachwa inachukua kama mwezi hivi kupona angaika kuomba msamaha usikate tamaa mtu wangu. Wenge la kuachwa ni baya sana hapo ulipo kama nakuona moja haikai mbili haikaihahahahahahaha hiyo Baba ilikua Jana..leo nipo sawa
Hivi unaiwazia papuchi yake na body au her spirit? RubbishI'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Hahaahah!! Kampunguzia mashuziAkunyimae kunde? ..................
Sasa si ulikuwa unampiga that why... ?? Mwanamke hapigwi brother....swagga Ni nini..i made her look fly..yeye ndio hana swagger
ndugu kwnye love unaweza kufanya Kila kitu,care,love..and ua ziada..but kama mapenzi yamefika mwisho..mnaachana..Sasa si ulikuwa unampiga that why... ?? Mwanamke hapigwi brother....
Kwahiyo yeye ndiyo mwenye makosa au wewe ndiye mwenye makosa...ndugu kwnye love unaweza kufanya Kila kitu,care,love..and ua ziada..but kama mapenzi yamefika mwisho..mnaachana..
kweli in life ukimpata mtu sahihi utahisi ushafika mbinguni wakati bado uko dunianiAlways we make mistake at once hii inatupa akili ya kumpata sahihi ajae mbele brother ukimpata mtu sahihi ndo utajua kwanin she let you go!
that is my ThadPole sana! Ni maumivu ya muda tu, baada ya muda yataisha na utakuwa mwenye furaha pengine kuliko hata ulivyokuwa naye.
Jitahidi kujichanganya na watu pia uchoshe mwili kwa kazi au mazoezi. Mwisho kabisa kula/nenda/fanya kile kinachokufurahisha zaidi.
Huyu ndio yule jirani nini? Mzee wa AslayPole sana! Ni maumivu ya muda tu, baada ya muda yataisha na utakuwa mwenye furaha pengine kuliko hata ulivyokuwa naye.
Jitahidi kujichanganya na watu pia uchoshe mwili kwa kazi au mazoezi. Mwisho kabisa kula/nenda/fanya kile kinachokufurahisha zaidi.
Mapenzi yanaongoza duniakweli in life ukimpata mtu sahihi utahisi ushafika mbinguni wakati bado uko duniani