Nimeachwa..

Mond pia kaachwa, lakini yuko busy kufungua TV na RADIO yake...
na wewe fanya kazi zako...
 
Love takes time.

I had it all, but i let it slip away,
couldn't see that i treated wrong,
Now i wonder around feeling down and cold,
trying to believe that you're gone.

Love takes time to heal when you're hurting so much, couldn't see that i was blind to let you go
I can't escape the pain inside
coz love takes time.

Hamna namna ya kuepuka maumivu, ruhusu uumie, kama kulia lia sana,, ila mwisho wa siku yanaisha...Utampata zaidi hata ya huyo, na utalaumu kwanini ulikutanishwa na yule wa mwanzo...
 


Mh! sasa nimeelwa kwa nini imekubidi kuja na ID mpya.

Anyway...time heals all wounds mdogo wangu.
 
Unaishi wilaya gani mkuu? Inaonekana ina uhaba wa mademu kabisa

Huku mjini mademu wengi hadi hadi tunawakimbia
 
it was a wrong choice !
keep trying another choice !
but is gambling..
ila ogopa pia mwanamke anaetafuta faraja baada ya kutendwa, hapo mwanaume unakua sawa na henkachifu.
Kwann mkuu? Hapa kuna single maza ananikubali kichizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…