Anasema nimeondoka kuja kwetu bila kumuaga[emoji17] sim alikua hapokei nikaona kukaa kwa rafiki sio vzuri acha nije kwetuLazima story ya upande wa pili ipatikane, hizi harusi, kitchen party, saloon zile za nyumbani kwa mtu bila kusahau Safari za kulala kwa mama mdogo au shangazi au kwa rafiki kipenzi zinatumika Sana siku hizi.
Unahitaji umakini Kuna wanawake mafia wanatumia hii loop vizuri Sana.
Mimi mke wangu halali hata siku moja kwa rafiki ambaye hajaolewa na akilala kwa rafiki aliyeolewa lazima huyo rafiki yake na mume wake wote niongee nao, yaani niwasalimie na kuwaomba alale hapo kwa inconvenience.
Halafu mume akikuambia Rudi nyumbani Rudi tu inampa nguvu sana. Hakuna kitu inawakera wanaume kama akikuambia Rudi halafu ukaendelea na shughuli zako. Wengi wanatafsiri ni dharau, na mwanaume akianza kukwambia unamdharau ujue umekalia kuti kavu.
Tatzo lenu mnataka 50/50 unaambiwa rud nyumban unakaid labda jamaa alikuwa anataka kuchakata ukamlaza wima km watchman unajua shida anayopata mwanaume ikiwa anataka kuchakata na akakosa mbususu tena kisa sherehe kwendraaa amna namna
Changamoto Hapo Ni discipline dada anguAnasema nimeondoka kuja kwetu bila kumuaga[emoji17] sim alikua hapokei nikaona kukaa kwa rafiki sio vzuri acha nije kwetu
Nilikua na 2000 pekee. Nauli ya kumpelekea funguo then nirudi ukimbini isingetosha hapo mkuu. Kwenye sherehe nilihudhuria na rafiki yangu hivyo nilimjuza usiku huo ni nini kinaendelea na nilimuomba Basi kabla hajaenda kwake usiku ule tupite kwangu kwanza ili tugonge mlango kwanza nikiingia Basi nayy aondoke tukagonga saana lkn hakufungua ucku huo ndipo ikabidi twende wote..Wewe utakuwa muongo muongo.... Hukuwa na nauli , nauli ya kwenda kwa rafiki yako ulitoa wapi?
Mtoto mdogo ulienda naye kwenye harusi au mtoto uliibuka naye wapi ilihali hujafunguliwa mlango.
Pambana tu na hali yako- sometimes mnakuwa na mambo ya kiwaki sana
Kakaangu hata yeye halimshitui kabisaa. Kuhusu kulea kaka naweza sishindwi. Napenda tu familia iwepo nasio kingine.Inaonekana unaficha mambo. Kwa mfano kwenye stori suala la mtoto na malezi yake halikushtui kabisa. Yaani unajiongelea wewe tu
Wengi viburi ndo vinawaponza, wanaume tunapenda wanawake wanaotiiLazima story ya upande wa pili ipatikane, hizi harusi, kitchen party, saloon zile za nyumbani kwa mtu bila kusahau Safari za kulala kwa mama mdogo au shangazi au kwa rafiki kipenzi zinatumika Sana siku hizi.
Unahitaji umakini Kuna wanawake mafia wanatumia hii loop vizuri Sana.
Mimi mke wangu halali hata siku moja kwa rafiki ambaye hajaolewa na akilala kwa rafiki aliyeolewa lazima huyo rafiki yake na mume wake wote niongee nao, yaani niwasalimie na kuwaomba alale hapo kwa inconvenience.
Halafu mume akikuambia Rudi nyumbani Rudi tu inampa nguvu sana. Hakuna kitu inawakera wanaume kama akikuambia Rudi halafu ukaendelea na shughuli zako. Wengi wanatafsiri ni dharau, na mwanaume akianza kukwambia unamdharau ujue umekalia kuti kavu.
Asante sana kakaangu nimekuelewaHivi mnaolewaga na wanaume wa aina gan?.
Anyway, kwakua unamjua mtu wako, ulitakiwa kumpelekea ufunguo.
Kwakua Mtu yako, ni MWANAUME DHAIFU LENYE WIVU NA KERO ZISIZO MAANA basi hata kuja na rafiki yako wa kike, hakuwez kumuaminisha kua umelala Kwa rafikio maana alihisi umempanga tu .
Una Mikono?
Una miguu??
Una Akili??
Embu achaneni na kasumba ya kumtegemea Mwanaume, wanaume wa Sasa ni wapo Machoko na wakila aina..
Nyinyi Wanawake pambaneni kujikombia kiuchumi, ili yasiwatese , muwe mnaamua wenyewe kuyaacha ,mkiyaacha, yanajinyonga ,tunayazika ,yanasahaulika.
Poleeee, pamoja nakwamba umezaa,. Shukru Kwa Yote, usitafute kujirudi, wee bado mrembooooooo , Katoto Kako kamoja ndo kakupe shida??? Na unakwenu??
Embu achana nahiyo mbwaaa, Wala isikupanikisheeeee!!.
Sehemu ya mtoto mbona hujanijibu!?Nilikua na 2000 pekee. Nauli ya kumpelekea funguo then nirudi ukimbini isingetosha hapo mkuu. Kwenye sherehe nilihudhuria na rafiki yangu hivyo nilimjuza usiku huo ni nini kinaendelea na nilimuomba Basi kabla hajaenda kwake usiku ule tupite kwangu kwanza ili tugonge mlango kwanza nikiingia Basi nayy aondoke tukagonga saana lkn hakufungua ucku huo ndipo ikabidi twende wote..
Huyu bwana Kuna cku pia nilienda kwenye sherehe nikarudi saa1 lkn alinipiga akinituhum kuchelewa [emoji17]
Alizifata nikampa akarudi nazo nyumbani then akafunga kwa ndaniAlikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo?
Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
Muandiko wangu sio mzuri kaka, nikweli hatujaanza kuzinguana leo. Cc hatuna ndoa tulikua tunaishi tu. Nilivyokuja nyumbani ckusema ukweli niliwaambia tu nimekuja kusalimia. Na sijawaambia mpaka sasa nafkiria namna ya kuwaambia ukweli na hata wakijua hakunawakutukalisha maana mwanaume hajafata protocol[emoji17]Sehemu ya mtoto mbona hujanijibu!?
Ila nyie itakuwa hamjaanza leo kuzinguana- ila Sasa na huko kwenu kukoje ,kwanini wakwe wasimuite mpatanishwe au ukawacheck wazazi wake. Hiyo kurudi Mwenyewe ni kama kashortcut. Fanyeni proper formalities naamini huko kwenu watu wazima wapo wanajua cha kufanya.
Inaanzaga hivi hivi kimasihara masihara hlf ndiyo inaenda mnazoea hali inakuwa ndiyo nitolee- I have been in that situation before, hlf baadae suffering za kihisia na watoto zinawafanya mjutie but inakuwa too late.
Ila umenishangaza kinachokusikitisha ni kuachwa ghafla ,but upo okay na kuachana shida ni ghafla?
Kama umefika kupigwa me naona una a controlling husband.alinipiga akinituhum kuchelewa [emoji17]
Ngoja tusubiri maelekezo yake...Alikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo?
Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
Mwanaume hajawahi kuja kwenu kabisa hata kuleta posa?Muandiko wangu sio mzuri kaka, nikweli hatujaanza kuzinguana leo. Cc hatuna ndoa tulikua tunaishi tu. Nilivyokuja nyumbani ckusema ukweli niliwaambia tu nimekuja kusalimia. Na sijawaambia mpaka sasa nafkiria namna ya kuwaambia ukweli na hata wakijua hakunawakutukalisha maana mwanaume hajafata protocol[emoji17]
Mpaka nimekuja hapa naumia kwa kuachwa kwani ckutegemea kuachwa nilijua tutasolve maisha yaendelee
Mimi sio mtu wa kutoka sana hata kwenye sherehe hiyo ni ya2 kwa mwaka huu na hakukua na sherehe nyingine Tena. Huwa naenda kwenye chama kuanzia saa10_12 tu, labda na kwenye misiba. Sim yangu huwa anakagua ndio Tena kwa kunishtukiza anaombaga pswrd Nampa na hajawahi kukuta tatizo.... Cm yake cgusagi kwani hata paswrd siijuagiKama umefika kupigwa me naona una a controlling husband.
Umewahi kumuambia leo natoka out na rafiki zangu akakubali? Anschunguza simu yako? Hapendi uwasiliane au anakuchagulia marafiki,? Anakusupport biashara zako? Ukimaliza tu kuongea na simu anauliza uyo nani? Anaonekana ana wivu hadi kwa ndugu zako? Ana password ya simu yako?