INTERGRITY
JF-Expert Member
- Jan 19, 2021
- 394
- 1,468
Mweh!..Si umroge tu arudi. Dawa zooote hizi tena huendi mbali waganga siku hixi wapo kila mtaa
elfu mbili tu.mnaenda kumkaanga makaburini Uchi usiku sasa je?
Atakuja kwa magoti piga mashine mpaka azae mapacha kumi
Halafu muache atambae na Dunia.
Wenda yeye ndio karogwaSi umroge tu arudi. Dawa zooote hizi tena huendi mbali waganga siku hixi wapo kila mtaa
elfu mbili tu.mnaenda kumkaanga makaburini Uchi usiku sasa je?
Atakuja kwa magoti piga mashine mpaka azae mapacha kumi
Halafu muache atambae na Dunia.
DahKaribu chaputa
Umsaidie sasa mama watoto wako arudi hkn mtu anae penda dadake/mtoto wake ahangaike na wanaume tofauti tofauti kila leo bali wanataka atulie alee wapwa wstasaidis ukoo unalia tena.wenda yeye ndio karogwa
Ndo maana ya kuwa mume bora usiachewenda yeye ndio karogwa
weee apige moyo konde???Hilo litapita tu brother, piga moyo konde
Ila masela mmepinda snKaribu chaputa
hee!! Wee jamaaa!Mkuu, hamisha mapenzi kwenye kitimoto, kula sana kitimoto utamsahau huyo bidada,halafu unaumiaje kuachwa?sasa ulitaka asikuache ili iweje?pata nafasi ya kuwajua wanawake dunia nzima yaani, unakula unaacha, rember to play safe, jipende kumamae zako
Tafuta mwengine ujaribu mana hawa viumbe hawasomeki kabsaaaJamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.
Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.
Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.
Napmba ushauri.
si umsaidie tuUkiachwa achika bro mungu atakupatia mwingine when time comes
kwa mpalange πhee!! Wee jamaaa!
Ale kiti moto ili anenepe nyaa??
Kifupi Humpemdi??
Sasa tako linafaida gani huko nyuma kwa mwanaume??
Halafu mbegu zitajaa pa kuzipakulia huna!! Ebu piga picha!
Ungesema ale bamia.kisamvu hapo sawa lkn.....mbraaaa!!
Wamtyombe tuu sassa, kama demu hamuelewi afanye nini sassahee!! Wee jamaaa!
Ale kiti moto ili anenepe nyaa??
Kifupi Humpemdi??
Sasa tako linafaida gani huko nyuma kwa mwanaume??
Halafu mbegu zitajaa pa kuzipakulia huna!! Ebu piga picha!
Ungesema ale bamia.kisamvu hapo sawa lkn.....mbraaaa!!