hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Been loving this Girl All my Life i thought she will be my future wife and now she leaves me in pain without any reason
Kwa hiyo?
Been loving this Girl All my Life i thought she will be my future wife and now she leaves me in pain without any reason
ni kwel mkuu aangalie asije akawa anapenda yeye mwenzie anamuona mchepukoChukua huu ushauri strugle na maisha kwanza ukifanikiwa mapenzi/mahusiano ni stage ya mwisho kabisa, Ila huyo sio riziki unapoteza muda kuendelea kufikiria na ukiendelea utakua mchepuko tu ukaribishe maradhi.
Nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana.
Nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana.
tajirimtata unaonekana hela yako kupatikana ni tata sasa pole sana... Leave her alone let her go do other thing..... Hakupendi sasa unataka kulazimisha acha bwana vibinti vingi mtaana chagua kipoozeo ukitafuta mke mwema ni hayo tu,......... Tumia condom
Mwanaume huwa haachwi kijana!
Jilaumu tu mwenyewe!
Tukijiingiza robo robo kwenye hayo mapenzi mnatuona ma players,Kiko wapi sasa!
Ukimpenda kwa 100% haina guarantee kama hutotendwa!
Zile siku sijui nani atazirudisha..........miss em old days kwa kweli.......
U mzima lakini........?
dume.........!!