Tajirimtata
Member
- Jan 28, 2014
- 23
- 8
- Thread starter
- #21
Ulivyoa andika kwa hisia, pole sana
asante
Ulivyoa andika kwa hisia, pole sana
Nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana.
ndiyo ukachanyikiwa umefungua thread mara mbili mbili alikuwa anakupa nini?
Mapenzi ukipenda sana ukajisahau siku ukibadilikiwa inauma sana, tena ukitegemea huyo ndio utakuwa naye baadae akikuacha unahisi umepoteza kila kitu yaani kama huna thamani tena,
I Wish she Could Stay but She Choose to left me, I Feel Empty Inside . I Will Always Love Her
mkuu amekupa ushauri mzur sana! la msing katafute maisha kwanza kwa maana mapenz yapo tu ukiweka swa maisha nakuapia watakuja wenywe tu kaz itakua kuchagua
ukwel mchungu japokua unasaidia
Ukome kupenda mzima mzima unasahahu kuacha nafasi yakonaumia sana Jamani