ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Pole mwaya hakuwa chaguo lako tafuta mwingine huyo achana naye kabisa na wala usimfikiri mawazoni mwako wewe songa mbele na dhidi kumwomba mungu kwani mke/mume mwema hutoka kwa bwana
nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana.