Tafuta mwingine acha ufal.a , wapo wengi wanaotafuta wenzaHabar wana jf hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpgia mpenz wang simu ! Ambay tulpendana saaana , siku za nyuma hapo tulikosana lakn tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempgia simu ananjibu majibu ya mkato sana . nkituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida nn? Anasema hakuna mpka nlpo mbna saaana akatamuka tu neno moja " naomba uniache " nikamuulza kvp anasema tuu nimuache hanipndi. Tena nashindwa kumwelewa shida nini! Hapa nilipo na hasira nataman hata nikamuue lakn siweZ! Na kumuacha nashindwaaa kabisa naomben ushaur nifanyeje katika hili
Ndio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapoPole sana dogo.
Ulikua nae huyohuyo ama ulikua na mwingine pembeni, kama ulikua na mwingine basi ongeza mapenz kwa huyu mwingine.
Kama ndo alikua yeye pekee, piga moyo konde jitahidi kutomtafuta kabisa futa namba zake, taratibu tu utamsahau.
Jitahidi achana naye hizo hasira utakuja kuishia jela mapenzi hayalazimishwi hujui amekuepusha na mangapindio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo
Na yeye atawaacha sana pia.Hilo.nalo litapita.
Kwenye maisha utaachwa sana tu
Tuliza akili...lia...umia...vuta mali mpya
Jitafakari mkuu, labda kuna mahali ulikosea kashindwa kuvumilia ama lah kapenda kwingine. Yote kwa yote kubali yaishe kuliko kumbembeleza zaidi arudi, kwasababu atarudi kwa kukuonea huruma na sio mapenzi tena.Ndio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo