Upendo iswa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 334
- 515
Hapana mkuu bado nampenda mpenzi wanguMcheki Rufiji dam anatafuta mke nimeona kaanzisha uzi tafutaneni mtengeneze bond
Labda inawezekana sababu anazozitoa za kukataa tusitambulishane rasmi ni ndogo sana anadai kuwa ni gharama na tutapoteza muda sanaHuyo analake jambo. Shukuru amesepa ..inaonekana kuna mambo alikuwa anakuficha
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga huyo jamaaa ulizaliwa naye hadi useme bado unampenda.. Yeye nmemkuta sehemu anashika maziwa sasa wew endelea kusema bado unampenda
Asante mkuu mimi nimekuwa na huo msimamo sasa ameamua kuniacha kisa tu sijakubali kuolewa kimyakimya pasipo kuwapa taarifa nyumbaniAcha ujinga. NEVER compromise your values kwa ajili ya ujinga wa aina hiyo hata siku moja.
Huyo most likely anataka kukutumia tuu (naongea hivi kwa experience binafsi kama mwanaume). Mwanaume anaekupenda from the bottom of his heart, hawezi kufanya hicho anachofanya jamaa yako.
Stick to your values, do not degrade yourself kisa tu kuolewa (tena bila utaratibu).
Upendo iswa
Sasa ndo unataka ulegeze msimamo ili akurudie?Asante mkuu mimi nimekuwa na huo msimamo sasa ameamua kuniacha kisa tu sijakubali kuolewa kimyakimya pasipo kuwapa taarifa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi legeza huu msimamo wangu ni kitu ambacho hakiwezekani ila napenda anielewe umuhimu wa kufunga ndoa rasmi , pia atambue nahitaji baraka za wazazi wanguSasa ndo unataka ulegeze msimamo ili akurudie?
Usifanye hilo kosa. Utakuja kulilia chooni. I am telling you.
Kama kweli atakuacha kwa kusimamia huo msimamo, kuwa na uhakika (I can assure you by 100%, though hautaamini coz you are blinded by love), kuwa huyo mwanaume NEVER LOVED YOU. So, be happy for that!! Upendo iswa
Siwezi sasa hivi nahitaji muda wa kutafakariNjoo PM tuyajenge,pia niliachwa kama wewe,demu hataki ndoa,sogea tukae yuko radhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu nitajitahidi nimsahau kwa njia yoyote ileAcha ujinga huyo jamaaa ulizaliwa naye hadi useme bado unampenda.. Yeye nmemkuta sehemu anashika maziwa sasa wew endelea kusema bado unampenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kweli ametafuta kisingizio cha kuniacha. Ila alikuwa anasisitiza sana niolewe kimyakimya ila hili halikuniingia akiliniAlikua anakutaftia tu kisingizio akuache, hamna muoaji hapo.
Mbona watu wanafunga ndoa bila sherehe kubwa, mnafanya kile mna uwezo nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app