Nimeachwa na mpenzi leo, nimefikiria kufanya hivi. Je, ni sahihi?

Ukihitaji ushahidi wa hayo MAAMUZI magumu upo mkuu. Fikiri Mtu analea ujauzito kwa shida,tabu za maumivu,kuumwa umwa na anajifungua kwa uchungu na maumivu makali mno lakin muda mchache TU baada ya hapo Ana mtupa mtoto msalani au kumfunga Rambo na kumtupa jalalani!

2.UNAWEZA MTESA KWA KILA HALI NA ASIONDOKE WALA KUMWAMBIA HATA MAMA YAKE MZAZI MATESO YAKO NA AKAISHI NAWEWE AKIYAVUMILIA HAYO HADI UTAKAPO BADILIKA NA KUWA MWEMA KWAKE
 
Ni mwanamke wako wa kwanza?

Ila acha kulia lia mkuu wanawake mbona wapo tele utapata size yako kuwa na subra
 
Hii ni akili ndogo miaka mitatu hujampa mimba tu ulikuwa unasubiri mkwaruzane ndio uwaze mimba? Pole

Lakini si kushauri umdanganye tena umpe mimba Elewa hakupendi tena akijua lengo lako humpati kwenye Mimba!
Ukibahatika kumpa mimba kwa kigezo cha kukomboa pesa alizokula utakuwa umejuongezea matatizo makubwa maishani maana lazima umhudumie na usipo mpa antation utahudumia na ataliwa na wengine.
 
kutokana na experience nliyoipata humu JF huyo bibie atarudi tu kwako ni swala la muda.., sema atarudi akiwa na mtoto tayari ama akiwa ameshaumizwa sana huko...hivyo jiandae tu kisaikolojia..
Habari zenu ndugu zangu wapendwa, naandika uzi huu nikitokea mkoa wa Katavi kikazi, nimeachwa na mtu nilie mpenda mnooo mnooo mnooo amabaye nimekaa nae kwenye mahusiano miaka 3 nikiwa na malengo naye lukuki, Nimeumia mnooo mnooo mnoo automatic atakuwa amepata mtu mwingine (na ndio ipo ivyo), Nimekaa nime-plan kufanya ivi,

1. Kwanza niwe mpole na mvumilivu na kukubaliana na hali halisi kuwa nimeachwa,
2. Pili nivute subra kwa muda flani kwanza upite na akili yangu ikae sawa
3. sijui nafanyaje

Note: Kwa sasa anasoma chuo fulani mkoani Mbeya..

Note: Huyu binti natamani sana awe na mtoto wangu, ila sitamani hata kidogo awe mke wangu wa ndoa.

Kama kuna maoni mengine ya kunijenga zaidi karibuni. Uenda nafikilia kwa uchungu.
 
Asije akawa ndio huyu demu wangu mpya mkuu!? Maana mi nipo mbeya Hapa na nimepata pisi Kali moja ipo chuo flan Hapa,,, na tulianza nayo Kama utani ikaniambia mtu wake yupo mbali kwahyo anakua mpweke Sana..
😃 😃 😃 😃 😃
 
Simple tu kaka... kwanza Kubali umeachwa.. Kisha usiruhusu akurudie.. Maana atakuacha akijisikia Tena.

Kisha Tia tia kwanza.. halafu Tulia Ufanye Maisha.
 
Simple tu kaka... kwanza Kubali umeachwa.. Kisha usiruhusu akurudie.. Maana atakuacha akijisikia Tena.

Kisha Tia tia kwanza.. halafu Tulia Ufanye Maisha.
 
Habari zenu ndugu zangu wapendwa,

Naandika uzi huu nikitokea mkoa wa Katavi kikazi, nimeachwa na mtu nilie mpenda mnooo mnooo mnooo amabaye nimekaa nae kwenye mahusiano miaka 3 nikiwa na malengo naye lukuki, Nimeumia mnooo mnooo mnoo automatic atakuwa amepata mtu mwingine (na ndio ipo ivyo), nimekaa nime-plan kufanya hivi.

1. Kwanza niwe mpole na mvumilivu na kukubaliana na hali halisi kuwa nimeachwa.
2. Pili nivute subra kwa muda flani kwanza upite na akili yangu ikae sawa
3. Sijui nafanyaje

Note: Kwa sasa anasoma chuo fulani mkoani Mbeya.

Note: Huyu binti natamani sana awe na mtoto wangu, ila sitamani hata kidogo awe mke wangu wa ndoa.

Kama kuna maoni mengine ya kunijenga zaidi karibuni. Uenda nafikilia kwa uchungu.
1 ni uamuzi sahihi
 
Pole mkuu ukipenda sana unapata maumivu ambayo hukutarajia. Ndio maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom