Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,894
- 44,267
Inasisimua na kutia huruma kwa mtoto ambaye ametelekezwa mikononi mwako... Nakushauri kaka mlee kama vile wakwako hadi hapo mama au ndugu wa mtoto watakapojitokeza ila nakusihi jitahidi kumfanyia ibada kupata kibali mbele za Mungu. Hatuwezi jua ametokea wapi.... Wengi wamesema ni baraka umeletewa, lakini pia kuna wakina Zinduna.
Mungu akubariki kwa moyo wa upendo ulio nao.
Unabahati kubwa sana mkuu! Mark my words. Embu fikiria kati ya watu woote na possibilities zooote ikakudondokea ww! Ur very lucky. Ningempenda sana huyo kiumbe. sana na nakushauri nawe iwe hivyo hivyo!
inawezekana kabisa malipo yakawa ni hapa hapa duniani,hebu kumbuka katika pita pita zako hujawahi kususa mimba?hujawahi kusema hautambui ujauzito ni wako?kama hujawahi kususa mimba then heri ya mwaka mpya
Mkuu umepata mtoto bila jasho. Ndo wako huyo tena. Watu wanalilia watoto.
It sounds gud, kweli haka ni ka-simba. Let me see.
hiyo baraka mtu wangu, ila hakikisha unakamilisha taratibu zote za kumuadopt maana hii serikali hata haielewekagi aisee. Kuandikisha polisi tu bado utaratibu wa kisheria wa kumuadopt mtoto haujakamilika, malizia maana hii inaonekana baraka lakini usipoihalalisha kuwa baraka safi inaweza kukutia matatizoni akijitokeza mtu na madai yake. Si unajua watu wanachungulia fursa siku hizi?
Tuzidi kuombeana kheri mkuu!
Nigaieni mie kama huyo mtoto jamani....
Tunakuombea kaka mabaya yakae mbali nawe...
Sijawahi mkuu, even once. Sina roho hiyo.
Wotewote au umbebe tu?!
Asante mkuu, sikajui hata jina, sijui nikape jina lingine?
Nitamtunza kama wa kwangu, msichoke kuniombea wapendwa.
Ha ha u must be joking mkuu!
tunakuombea mkuu, kana umri gani kwani?
Kaite Amicus Curiae Junior.