Nimeachiwa mtoto ndani ya basi

Mkuu wkt tupo kwny basi tulijadili kuhusu hili, wakubwa wakanishauri nisifanye hivyo, kuna impact kubwa sana.

dah! ile point ya kumtangaza kwenye vyombo vya habari hasa tv niliiona nzuri, uliposema mmejadili na kuona madhara yake. sina budi kuungana nawe,
yaan kama ni pepa basi nimechana naanza kuandika upya! lol!
maisha ya mtoto yabaki kuwa (private) binafsi. bado kuna umuhimu wa kuifahamisha jamii bila kuonyesha picha ya zenu na mnapoishi. ili anaehisi anahusika na uyo mtoto aende polisi, naamini watamhoji kujua kama ni kweli au lah, kama ni ndugu, atatakiwa amfikishe mama mzazi kituoni ili sheria zichukue mkondo wake, kama kuna ndugu wa damu wanaoweza kumlea vyema binafsi naona itakua vizuri kwa mtoto, pia taratibu za kuishi nae kuhalali ni muhimu, amini usiamini utasumbuliwa tu huko mbeleni. kwa records chache tu hapa jf na polisi ubungo(hasa rushwa ikitumika) records zako zitapatikana na wakaweza kuzitumia sasa ivi au wakazitunza waje kuwatafuta baadae sana
 
Mkuu nimejifunza, lkn sijajali sana coz everything happens for a reason.

Your attitude towards this episode is really impressive! Hope huyo mtoto atapata malezi safi yenye upendo. Big up!
 
Mkuu si ukapime DNA kuwathibitishia kama hawaamini ili muende sawa? Ni wazo tu
 
Hiyo zawadi ya mwaka we mlee tu ni bora huyu aliyemuacha mtoto wake kwako kuliko kutupa chooni au jalalani aliwe na mbwa jina mpe amucus curiae ii, mungu akubariki sana
 
aseee......... m spichlec! by the way kapime dna ili kuwaondoa wacwac la cvyo huyo gf wako atamlea kwa kinyongo akijua ni mtoto wa mke mwemzie
 
maneno mawili tu,"pokea baraka"
 
Pole,
Kalee tu na utabarikiwa.

............. Ndo maana tunashindwa kuwapokea
wamama watoto tukiwa kwenye magari.
 
Lea mtoto huyo, gharama zitaongezeka ila ni miaka ya mbele sana n still hizo gharama u cant compare na gharama ya mtu since ni priceless... afu siku mtoto anakua mtu flani hua wanarudi hawa.... huyu life litakua limempiga chenga sana, kama katoto kamekuakua, theory nyingine yaweza kua kamepata bwana wa kuolewa naye sasa huyo mtoto anaona kzigo so anapusha ili aonekane safi akafunge ndoa safi...
Ila kama unaona mzigo mwingine huo kuhofia kusumbuliwa mbeleni, option inabaki kutangaza kwenye media tu, tupia na picha, ndugu wapo wataona,
 
zawadi hiyo; hata gf wako asipokuamini we komaa tu na kazi ya kisamalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…