nimeachikasiku ya valentine

nimeachikasiku ya valentine

Umeachika kwa sababu na wewe umeacha mtu. Polee.
 
Poleee, bora yangu mimi niliyekaa home, nikatulia zangu.
 
Hebu weka mkasa wote tupate kuchangia kwa mapana.
Kabla ya hapo, HONGERA SANA, hakuwa anakustahiki huyo.
[Nitarudi baada ya kuona umeweka abc]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom