Nimeachika Mwenzenu

umeacha au umeachika
tupe sababu

hata ukienda kuomba kazi hayo ni mwaswali muhimu ya utokapo vipi

infact am in it nauliza tu sipo single

nataka tushirikiane uingie kwenye uplural
 
Fagia fagia kwanza, vuta pumzi na ujipange upya. Haraka ya kazi gani?
 
umeacha au umeachika
tupe sababu

hata ukienda kuomba kazi hayo ni mwaswali muhimu ya utokapo vipi

infact am in it nauliza tu sipo single

nataka tushirikiane uingie kwenye uplural

Umeshaijua jinsia yake?
 
Asanteni kwa ushauri japo upweke hubebeki, mazoea yana taabu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…