Ni kweli siwezi kufanya mzaha kwa Mungu hata mimi kwa kweli nimeshangaa sanahaleluya muujiza umetendeka, japo katika uhalisij ni ngumu kuamini
Hapana kumpigia simaanishi namhitaji kimapenzi nilitaka kujiridhisha tu kama kweli ameamua kwa sasa mimi nina mtu mwingineMi nadhani wewe ndio uliachwa. Maana kwa mtazamo wangu kwa kuwa ulikuwa hujampenda, kitendo cha kutokukupigia kwako kingekuwa faraja na usingehangaika kumpigia kila mara. Kuwa mkweli,
Ni kweli siwezi kufanya mzaha kwa Mungu hata mimi kwa kweli nimeshangaa sana
Hapana kumpigia simaanishi namhitaji kimapenzi nilitaka kujiridhisha tu kama kweli ameamua kwa sasa mimi nina mtu mwingine
bravo mate....hapo mwana umenena