Tafuta fundi zaidi yake, utamsahau tuu.Habari wanajamvi
Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake
Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke mwingine...wakitanua...
Sio siri moyo wangu ulilipuka na kuumia sana....usiku wa siku hiyo...sikulala nilisongwa na mawazo... Nikifikiria zile mechi ambazo tulikuwa tunacheza....ndo watakuwa wanazicheza
Nimeachana nae...ila najikuta namuwaza na kuhisi wivu
Nifanyeje nimsahau..na nisione wivu..nimuonapo akiwa na mpenzi wake mwingine?
[emoji23] [emoji23]jaribu kuzoom out hauto ona wivu tena
Tunapita mbele yake na yeye aone wivuJamani!..huo ndo ushairi au matanii?
Always genius think the sameHuu Mwandiko Ni Wa Kiume Kabisa.
Shemdarling...Aisee,.pole cute babe eeeh,..una miaka mingapi kwani mpenzi wangu mjuri mjurii?!..
Aisee,.pole cute babe eeeh,..una miaka mingapi kwani mpenzi wangu mjuri mjurii?!..
Unapajua piemu?
Nipe namba yako ya simu nikufundishe mambinuHabari wanajamvi