Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,700
Reaction score
14,768
Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.

La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye tuachane?

Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.

Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.
 
Mtu akitoka, mwingine anaingia.
Mtu akishuka, mwingine anapanda.
Mtu akisimama, mwingine anakaa.
Fanyiakazi hizo maneno, na usipende kukuna palipo acha kuwasha....

.........nifanyaje au nimuache aende zake
 
Ndo maana nalipenda hili jamvi ukija na tatizo lako faster linapatiwa ufumbuzi
 
Kila Mtu Kuna Asichopendelea, Usifos Mtu Akubaliane Na Unachoona Wewe Kinafaa, Muhimu Toa Details Zake Fb Alafu Mwombe Msamaha Yaishe, Muendelee Narelation, On Otherside Inawezekana Anahofia Kukamatika Kwa Another Bf Kuwa Yupo Nawe Mchunguze Ujue Why Hapendi Umweke Fb? Kama Sababu Nizamsingi Muondoe Msonge Mbele
 
Back
Top Bottom