Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID.

Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
Hongera Sana Mkuu.Nipe mbinu na Mimi niache kabisa kamchezo hako kachafu.
 
Back
Top Bottom