

Yana muda basi.Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga.
Nanyi pia nawaombea
Aaaahhh km ndo unamuitaga hvo wacha ajinywee zake tuKila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Mtu asiyeweka mguu nyumbani ana jina lipi tenaAaaahhh km ndo unamuitaga hvo wacha ajinywee zake tu
Ikipita salama angalau miezi 9 ndo utajua kweli umeachaNimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga.
Nanyi pia nawaombea
Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa.Mtu asiyeweka mguu nyumbani ana jina lipi tena
Embu anza kumuita majina mazuri uone km hatokua anatulia hapoMtu asiyeweka mguu nyumbani ana jina lipi tena
Umeacha au umepumzika?Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga.
Nanyi pia nawaombea
Achana na huyo mbwa, njoo unifuge mm sipend pombe 😹Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Kila la heri.Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga.
Nanyi pia nawaombea
Hiyo ndio kazi yako ya msingiKila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Subiri povu toka kwa wapiga gambe mkuu, watakuambia ni stori ya upande mmoja.Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
😀😀😀 Akijipooze stress.Aaaahhh km ndo unamuitaga hvo wacha ajinywee zake tu