Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
Habari wapendwa. Nime renew line ya Tigo baada ya awali kupotea, niliambiwa nitarudishwa hewani baada ya masaa ma4 lakini mpaka sasa yamepita masaa kumi haijawa hewani. Msaada tafadhali. kwa anaeweza kunisaidia. Natanguliza shukrani ya dhati.