Kuna mdada alikuwa anahamia ughaibuni alikuwa na ist bado nzima inahitaji 6 ila kwa 5.5 angechukuwa mana alikuwa yupo fast afu wateja wanamzingua
Sema ushaweka nia ya passo na vitz haina namna chukuwa vitz mkuu passo zinachemka sana afu utumiaji wa mafuta imezidi kidogo vtz