Hizo gari mbili zinafanana sana kwenye vitu vya msingi kama engine size,space,fuel consumption. Ila nakushauri uchukue Vitz ni imara zaidi kuliko Passo. Kuhusu bei demand ndio inapandisha bei ya used cars,unajua sisi wabongo kwa mkumbo baada ya Passo kuingia kila mtu anataka Passo kwahio wauzaji wanatumia fursa. Na unaweza kupata gari namba B nzuri kuliko namba C
tafuta istsawa mkuu shukrani sana...
mbona mchepuko umemchukulia HARRIERbajeti yangu ni mill 5 mpaka 5.5 hapo naweza kupata passo au vits tu mkuu
hizi fiksi zitaisha lini?charty wangu alikuwa hivyo hivyo nikamchukulia zake mark X
Hilo nalo nenoKuna wanunuzi wa magari wanapenda sana number,utasikia nitafutie Gari namba D na yenye km chache bila kujua Gari iliyochakazwa Zanzibar hata Miaka mitatu ikija hapa Dar inawekwa number D na hata ukitaka kilometer sifuri unawekewa....Ushauri nunua Gari iliyo na condition nzuri usiangalie number.
Samahan KakaJambazi aliyehusika pale mlimani ni huyu hapa....nimeamini umeokoka teh tehcharty wangu alikuwa hivyo hivyo nikamchukulia zake mark X
Mkuu Nina spacial ebu njoo tuongeebajeti yangu ni mill 5 mpaka 5.5 hapo naweza kupata passo au vits tu mkuu
Mbona hata vitz ni baby walker?Mchukuloe vitz ni gari ya uhakika hizo baby walker achana nazo hazihimili safar na hata spare zake zina usumbufu sana na ni pasua kichwa sana chukua vitz ndo gari kati ya hizo ulotaja kutokana na pesa yako ingekua uko juu kidodo ngekushauri uchukue ist