Nimchague nani?

Nimchague nani?

Ungekua mwanaume rijali usingeruhusu huu ujinga.
 
Habari za usiku wanajamii
Mimi ni kijana wa kiume Rijali Kabisa sasa imetokea nimependwa na Madem wawili na wote ni wazuri na wote nawapenda sasa mmoja ni mtoto wa kishua na mwingine ni wa fmilia ya wasakatonge wa kawaida tu.
Sasa ndugu zangu nishaurini nichukue yupi na niache yupi!
Naombeni nishaurini hasa kutokana na impact za kuwa ma mtoto wa maskini au mtoto wa tajiri!
Kwenye suala la dini wote ni wakristo! Naona hilo halitasumbua sana
Umri tumepishana miaka mi 4 yaan wote wawili
Una miaka mingapi?
Tuanzie hapo kwanza ili tujiridhishe kama wewe ni muoaji au mchepukaji tu
 
Nataka nikae nae kwenye uhusiano kwanza nikiridhika after 4 years naoa
Kutokana na majibu haya,nimegundua bado upo kwenye wakati Fulani hivi hot wa kuparua kila kibinti kinachopita mbele yako. Basi nikutakie tu mparuo mwema. Waparue wote wawili kwa nyakati tofauti tofauti na ikiwezekana ongeza mademu wawili tena ili upate mwanamke bora zaidi maana unapotoka matokeo mazuri zaidi ya utafiti ni sharti uwe na sample size ya kueleweka. Kamua papuchi mkuu. Asante
 
Hahahahaa jamaa umenifurahisha kweli ulivyojibu naomba endlea kunipa Mawaidha
 
Kutokana na majibu haya,nimegundua bado upo kwenye wakati Fulani hivi hot wa kuparua kila kibinti kinachopita mbele yako. Basi nikutakie tu mparuo mwema. Waparue wote wawili kwa nyakati tofauti tofauti na ikiwezekana ongeza mademu wawili tena ili upate mwanamke bora zaidi maana unapotoka matokeo mazuri zaidi ya utafiti ni sharti uwe na sample size ya kueleweka. Kama papuchi mkuu. Asante
Hahahaa jamaa upo vizuri sanaa endlea kunipa Mawaidha Kakaa
 
Kuwa na uhusiano na mtu hatuangalii nani ana pesa na nani hana kikubwa tunaangalia nani anayekufaa katika maisha,yule atakayefanya yale yakupendazayo huyo ndiye sahihi kwako.
 
Hahahaa jamaa upo vizuri sanaa endlea kunipa Mawaidha Kakaa
Kumbuka UKIMWI. Keep on your mind that,VVU ipo sana kwa watoto under 25. Tena IPO kubwa sana. Nadhani ukipanua wigo wa sample size of your study hakika utapata unachokitafuta(nadhani umenielewa).
 
Kumbuka UKIMWI. Keep on your mind that,VVU ipo sana kwa watoto under 25. Tena IPO kubwa sana. Nadhani ukipanua wigo wa sample size of your study hakika utapata unachokitafuta(nadhani umenielewa).
Umeeleweka kakaa kwahio condom ni muhim sanaa sio
 
Unawezaje kupenda madem wawili kwa lengo moja?
Hujapevuka kifikra
Sitaki mapenzi ya tamthilia za kikorea apa
 
Umeeleweka kakaa kwahio condom ni muhim sanaa sio
Kondomu siyo sahihi japo ni kwa kiasi Fulani. Chagua either mtoto wa kishua au wasakatonge kutokana na mapenzi yake ya kweli na dhati kabisa. Ukiendekeza ngono kwa kila unayemwona utaambulia vvu tu. Naimani ukipata vvu hutakuja hapa kuomba uahauri maana utaanza kuishi kwa kujidicha ficha. Take care. Dunia siyo ya mariamu
 
Back
Top Bottom