Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

kama mie, nampigia simu lunch hour niko hotel na chumba nimelipia.

Ananikuta nishajisonteshea kibla tayari kwa kuchinjwa.

Hata aitunze vipi, haimsaidii lolote.

Uchumi ukipewa utumie khah!

Hahahaha afuate nyayo za HOD wake siyo? Kakitumia vizuri kwa MD kishaula. Umepewa bure kuna ubaya gani ukikitoa kwa faida? Cha msingi ni kukitoa responsibly.

Karibu kaunta ya juu hapa Kibira.
 
Huo ndio ubaya wa mabosi penda penda! Unaweza ukatoa K, na mambo yakawa supa kwasasa ila baadae yakawa mvurugano zaidi huko mbeleni .Fanya lile la ndani ya uwezo wako hutajilaumu.
 
Yaani nilitaka kusema kama wewe aiseee..yaani hapa mtazunguka bure kikubwa kama mwenyewe lara 1 anavosema mjini mipango..ampe kipele bosi akitumbue!!!....hapa ushauri wa Kongosho unahusika...Na itakuwa amekitoa pahala husika hakuna wa kumlaumu...i bet K would easily motivate her Diaspora boss..lol
hicho unachobania ndio mpango mzima wa kuweza kumshawishi hasa kama ni mkware... vingine ni kubahatisha tu...
 
Last edited by a moderator:
hicho unachobania ndio mpango mzima wa kuweza kumshawishi hasa kama ni mkware... vingine ni kubahatisha tu...

Yaani NILIWE HIVI HIVI NAJIONAAAAAAAA!!!!!! TARATIBU NAPELEKWA MACHINJIONI? NO SWEAT!!!!!!!!!!!!! Yaaani nxt week ni zaidi ya kikaaangoni!!!! Sijui atanikaanga na viungo au chukuchuku!!!!!! Dah!!!!!!!! Waweza msimanga mtu kwa kutoa uchi wake kirahisi kumbe yamemfika kama hayaa!!!!!!!!!!
 
Yaani nilitaka kusema kama wewe aiseee..yaani hapa mtazunguka bure kikubwa kama mwenyewe lara 1 anavosema mjini mipango..ampe kipele bosi akitumbue!!!....hapa ushauri wa Kongosho unahusika...Na itakuwa amekitoa pahala husika hakuna wa kumlaumu...i bet K would easily motivate her Diaspora boss..lol

Daaaaaah! THAT IS MY MOST PRECIOUS ASSET AISEEE!!!!!!!!! INVESTOR WA OVYO OVYO HAWEZI GUSA PANDE HIZO KIRAHISI!!!!!!!! These are times which I realy believe in A MIRACLE!!!
 
kama mie, nampigia simu lunch hour niko hotel na chumba nimelipia.

Ananikuta nishajisonteshea kibla tayari kwa kuchinjwa.

Hata aitunze vipi, haimsaidii lolote.

Uchumi ukipewa utumie khah!

Hahahaaaaa! Mtu nishamringia!!!!!!! Akuuuuuuu! Naogopa nikijifanya kumpa anapiga hadi 0713 kunikomesha kukibania!!!!!!!!!
 
he he he, basi mie kipele nawachapa nacho tu.

Sikibanii kwa kweli.

Hahahaaaaa! Mtu nishamringia!!!!!!! Akuuuuuuu! Naogopa nikijifanya kumpa anapiga hadi 0713 kunikomesha kukibania!!!!!!!!!
 
I see what you mean lil momma.... lot-ta times ain't about being good....its how you control the situation....my quick 2

  • Tricky him out...show some sign of interest to him...phone him off working hours, ask him for a w'end drink date while buying time for him to do the good thing...(You can go out and still not give out your goodies... )....the old men might buy the idea and extends the favor...
  • Do it the Sicilian way...mind your own bizz...when give him the form just pre-empty him and make it clear that you don't expect him to take it personal in grading you b'se U denied him a chance of deepening his 100% all-beef thermometer . You expect him to be fair...This reverse psychology might scare him to give you odd rate....ya diggy

Im considering OPTION 2 THE MAFIAN WAY!!!!!!!!!!!!I realy hope he gets scared!!!!!!!
 
Hahahaaaaa! Mtu nishamringia!!!!!!! Akuuuuuuu! Naogopa nikijifanya kumpa anapiga hadi 0713 kunikomesha kukibania!!!!!!!!!

kumbe mnajua mkisumbua watu huwa mnakomeshwa namna hiyo?
aisee we umekumbana na mengi baasi
 
Back
Top Bottom