Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 27, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Wakubwa shikamooni!!!!!!!!

  How do you do my Broders n Sisters from Another Mother!!!!!!!!!


  Mie mzima ila ndo mwaka wafikia mwisho hivooo, sasa pale kwa ofisi tumepewa PERFORMANCE EVALUATION FORMS ili kutupima utendaji wetu, na inshaalah! Mola akijaalia mwakani tupate hivo vyeo na bonas za kufungia mwaka! Hizi PEF yabidi kwanza nijijazie mwenyewe, alaf nimpeleke MKUU DIASPORA, alfu na MKUU WA IDARA nae anijazie!!!! Najambajeee sasa!


  Utendaji wangu nahisi mwaujua ni wa KUCHAKACHUA mwanzo mwisho, Kwanza Naibia nasoma full time(msiniulize nawezaje, siri ya biashara) Pila nashinda humu JF, Tatu mingo za grave yard hazinikauki kuchonga ngenga na kupoteza muda. I know im not the best employee n im sorry bt life is too fast, cut me some slack people okay!!!!! Sina bahati kama nyinyi ya kulipwa 7figures na sina bima wala trust fund. Sina majumba ya kukusanya kodi, mama lara 1 anakaba kila angle. I survive on my own!!! Asister gotta eat n survive Okay!!!!!!!!!


  Sasa mkuu wa idara ni maza flani, tunaelewana sana coz namuoneshaga mingo za pamba na mipochi pale Mwenge na Kino, nimemuunga na suppliers wa designer perfumes na make ups. In short maza shosti wangu sanaaaa, namuonesha jiji na mataa yake. Hadi zawadi ya mumewe ya anivesary nimechagua na kuinunua mimi! Ile fomu atanijazia poa sanaaa! Mjini Mipango.!!!! (Lazima kujikombe once in a while)

  Tatizo lipo kwa Boss Diaspora!!!!!!!! Hali ya baba wa taifa ni tete! Toka nimpe cha mbavu basi kanitoa moyoni jumla jumla. Najmbajeeeenikifikiria atachonijazia!!!!!! Kama mjuavyo mimi 1. NI MNYWAJI,n thus damn expensive 2. Shopaholic nasanya taka madukani balaa another expense! 3. Mtu wa company sana so matumizi balaaa. That promotion is very important to me!!!! Hata hizo bonas coz im in huge Debts!!!! Diaspora ananifanyia Bettle za wazi wazi, najua lazima aniharibie. Safari zangu anazikalia, OT anaziover rule, Commissions kanipunguzia % yaani Kama i had a choice ninge resign ila kitaa hali tete. Ningekuwa na uwezo NINGEENDA KUMLOGELEA MBALI atulieee ila ndo siamini hizo makitu.

  Sasa wakuu wangu wazee wa kujipendekeza embu nishaurini NIFANYAJE INODER TO TRICK/MOTIVATE DIASPORA TO NOMINATE ME FOR THE PROMOTION!!!!!!!!! Nitumie silaa gani? (Ushauri wa kumpa UC*I SIUTAKI KABISAAA) There gotta be another way for me to motivate him!!!!!!!!!! High class peoples wajameni help me ooooooooh!!!! Nimefikiria nimpe zawadi ya membership ya 1 year golf club jimkhana but i can barely afford that, alaf akiikataa ni non refandable!!!! Nitajikojoleajeeee! (Takrima ni gharama kubwaaa!)

  People clock is ticking!!!!!! I gotta put all my cards on the table n i got shit!!!!!!!!! Please dont start judging me (jst thank God you aint like me), i know i aint the best example bt the sister is tryin hard!!!!!!! Cut me slack today! I promisw ill change! Okay!!!! For now mnisaidie nipate hilo PROMO KIBINGWAAAA!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  ....mweh....pole shost
   
 3. data

  data JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,779
  Likes Received: 6,548
  Trophy Points: 280
  Najambajeee sasa!

  ......saiv nimeona hapo tu... ntarudi badae...
   
 4. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dah cha muhimu ni kumkunjia sura tu,, mi mwenyewe nimefanyiwa appraisal last week balaaa.. Tatizo kampuni niliyopo utaratibu wake unakaa na your senior manager mnajaza pamoja kwa kujadiliana hali halisi ya performance yako ilivyo as no longo longo,, manager kanibana hadi kooni as mzee natorokaga sana job especially ijumaa.. Na weekend sionekani na mwepesi wa kujaza tax vocha kama nilikwepo hizo wekend,, wacha anibananishe siku hiyo na nina ka corolla kipya nimevuta kahisi nimechakachua kampuni as hajasikia nimeomba mkopo popote,, yaani amenipa max ndogo hadi nimetamani nimgomee sema nimeuchuna tu,, hapa natafuta kazi kwa nguvu zote niondokane na pressure hii kampuni,,, na nikipata sasa nitamtukanaje wakati namuaga labda nikose.. But bonas ndo nimechapata kiduchu ndugu yako na nilikuwa nimelipangia budget hilo bonasi nilipie kodi ya mwakani yote ndo lishabuma
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwan una muda kiasi gan mpaka kusbmit hy PEF yako? If u stil have ka mda waweza change kimtindo try to impress hm by doing ur job, acha kuibia,potea hapa JF 4 hako ka mda hata unavyoreact ofcn change, bt la muhimu go and talk with hm apologise 4the cha mbavu come clean and show him hw that kupanda cheo is important 2u while ukipromc kuchange 4gud na iwe real usifake....otherwise u know ur diaspora well than us so u know wat 2do!
   
 6. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Always shortcut is wrongcut jiamini tu ye mwenyewe atasanda,unaogooopa kumbe mwenyewe anakuhanya
   
 7. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mtokee tuu uongee nae face 2 to face atakuonea aibu si wajua madingi kwa watoto wakike hawapindui, afu njuavyo izo perfomance si huwa zinajazwa kimajadiliano piga nae story kishkaji
   
 8. c

  chakochetu Senior Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijajua "job description" yako ipo vipi?,lakini jipe rating za juu,halafu tafuta defence ya kila eneo ambalo uhnahisi utakuwa "challenged" this depends on yr job description ilivyo,tena kama hauna malalamiko toka kwa "immediate supervisor" wako usiwe na hofu kabisa jipe rating kadri unavyo ona inafaa,jipime mwenyewe kwa jinsi unavyostahili huku sababu za kwani nini unastahili kupata unachokionyesha katika fomu yako uandae kabisa.!!!!
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Huyu MKORA wangu kila siku namuwekea sura ya kazi!!! Ila saivi KASHIKA MPINI MIE MAKALI!!!!!!! Inabidi KUMZIDI AKILI!!!! Hiyo nafasi kaacha mtu, nikizubaaa tu mpaka mtu mwengine aache lini ndugu yangu???????? Alafu expenses zinanizidia, Debt Ratio inakaribia kupasukaaa! Hapa Inabidi nimchote KINGI huyu Mkora anipitishe tu Kibingwaaa! There gotta be a way!!!
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mmmmmh! Huyu alinitokea, nikampa cha mbavu sasa kumuanza urafiki naona nomaaa, asije taka tena zigo!!!!!!! Na nikimuendea kichwa kichwa atanishushuaajeeee!!!!!!!! Kaka ana SHAZIII huyo balaaaa! Hapa inabidi kumconer angle X ambayo hachomoi! Ndo ipi sasa?
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Thanks for the optimism mdau! Pale tunaishi kwa timing tuuuu! Kuchange siwezi coz im underpayed hence im not motivated!!!!!!!!! Im not building my career naganga njaa tu!!!!!! Kwenda kuongea nae its a pont n a must! Ila tatizo bila motivation, itakuwa bureeeeeee! Ataniambia kanisikia afu basi! Na atajua im desperate ndo atanikomoa zaidi. Hapa inatakiwa mbinu ya kivita kumchota!!! Diplomasia za kiutu uzima kushney!!!!!!
   
 12. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mpe tu K haitaisha atapiga tu sehemu yake then siku zinaenda.
   
 13. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! Tatizo lake yule NIKIMUONJESHA HAKAWII KUTANGAZA NDOA!!!!!!! Maana mwanzoni alikuwa ananiuliza kijijini kwetu wapi, wazee wangu, dini, thehebu, ubatizo, hadi ukoo wetu kiundani!!!!!!!!! Vya nini vyote kwa Mpenda kuonja!!!!!!!

  Ataogewa afu nina mpango wa kupanda Organisation Hierach kwa Magumashi ila kamwee sio kwa PICHU!!!!!!!!!!
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ok find anapendelea nn like vinywaj gan then unampelekea ka zawad ila kumvulia pich* big no dnt do tht,bt la msingi muingilie kidiplomasia 2 atasalimu amri i trust u
   
 15. m

  madurufu Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Ongea na huyo mama ambae ni bosi wako mpe ukweli wa mambo she might help u kukutetea kwenye mavikao yao ya promo......gud gal usipende vua vua pichu ovyo hasa maofcn.
   
 16. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapa omba mungu tu
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmh! Mwenyewe hilo nimeliwaza ila kuna tatizo dogo, Maza cheo kapewa flani hivi, Kiutaaalamu Diaspora yuko juuuu, na kwenye kujibu MIMEMO toka top maza anamtegemeaga Diaspora, japo yeye ndo Bosi Kubwa, Sasa mwenyewe hawezi KUMFACE DIASPORA, COZ UBAORA WAKE KIKAZ UNAMTEGEMEA DIASPORA!!!!!!!!! Alafu itikadi zake za KICAPITALIST ataniambia nimpe tuuu, kwani kitu gani! Mambo kupoozana kiofisi! LOL! Nasikia yeye mwenyewe charitable to MD
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Yaaani!!!!!!!!! Niomb tena kwa KUFUNGA!!!!!!
   
 19. N

  Natalia JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tulia vyeo vinaenda na akili utulivu na mfano nikupe mother wangu na ukatibu mkuu wake wote hajawahi kumpandisha cheo ndugu wala rafiki.waliimchukia sana nilivyomaliza George Washington nilijua mother atani hook up alinipa jibu hilo sitisahau alinimbia"tafuta kazi ukishindwa tutaangalia usawa " ah nilirudi bongo nilikaa nyumbani 2 months nikaanza nikarudi Huku kwa mpenzi wangu nikaolewa .bosi wako Kama amesoma na anaakili na degree ya 1970,s usisubutu utapoteza kazi .corruption is not a good thing , work hard show up on time.Ingekuwa haraka hiyo uliyokuwa nayo Enzi Za Nyerere ungefungwa.huyo bosi wako ni mswahili kwelikweli anapenda vitu na tamaa.mama Angu alikujaga Huku USA alinikuta na pair 300 .aliita eamexicano wacha
   
 20. mak89

  mak89 JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 974
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 80
  Lara1 hapa embu unganisha mambo, huyu diaspora ndo yule ishomile?
  Nikilijua hilo ndo ntakupa maujanja
   
Loading...