Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,592
My birthday is coming soon,
Siku tano baada ya birthday yangu ndio nitatimiza miaka miwili kama member wa JF
Tuliozaliwa siku hiyo hebu tukutane hapa tuulizane kuuhusu mambo ya nyota tuone kama yana uhalisia .Tuliozaliwa siku hiyo nyota yetu ni mapacha hebu njoo tuone watu wenye nyota ya mapacha tuone kama wanapitika kipindi sawa
Karibuni
Deadbody