Nilizalishwa na kudhalilishwa

Nilizalishwa na kudhalilishwa

Baba tofautisha uzuri na urembo....huyu demu ni mrembo,
Huyu anaoga vizuriii anapaka mafuta vizr, nmemkubaliii

Ukimuita mzuri utatufombanisha humu ndani
Mkuu kuna wanawake hata ajirembe vipi bado tu anaoneka famba urembo unaende kwenye wazuri
 
Maajabu yake utamkubali Mara hoo!!!! Sijui nini nimekusamehe usirudie
 
Kwani jf ndo ilikuzalisha na kukudhalilisha,kumbe ndo maana jamaa alikukimbia unaonekana si mzima kichwani baadhi ya boliti zimelegea
 
Bila shaka Jf ni ya Baba yako mzazi, mwambie afute huu uzi kwani umekukera mwanae.
 
Huna akili ndo maana umezalishwa na kukimbiwa + kudhalilishwa na bado unaendelea kuuthibitishia ulimwengu kuwa bado dish lako liko tenge,
 
Katika harakati za kutafuta mkate nilikutana na mwanaume ambaye hatimae akawa mzazi mwenzangu, tuliishi kipindi kirefu sana tukiwa kama mke na mume, mwisho wa siku jamaa akaamua kuachana na mimi kwa mbwembwe na udhalilishaji wa kimataifa,mabaya mengi sana alinizushia ili tu azma yake ya kutaka kuniacha kiholela ipate waungaji mkono, Kwa kiasi kikubwa alifanikiwa wengi walimuunga mkono, kejeli matusi vilikuwa vikipishana mitaani vikinisaka mimi ,na haikuwa mimi tu mpaka familia yangu iliunganishwa kwenye hiyo dhihaka, kilikuwa kipindi kigumu sana haijawahi kutokea, maradhi msongo wa mawazo viliandama kiasi kwamba niliichukua dunia, nilijuta kwanini nilizaliwa, wakati mwingine nilitamani nife niondokane na haya mateso, lakini nilikuwa nikimwangalia mwanangu naishia kulia, nawaza nikifa leo huyu kiumbe asiyekuwa na hatia nitamwacha katika mazingira gani? Mungu si James kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele nikawa naizoea hali ile, nikaikubali hali ile na niambiwe au nisikie nini sikuweza kuumia tena, mpaka naandika uzi huu nina amani na yaliyopita yamebaki simulizi tu wala hayaniumizi tena. Kilichonileta kwenu ni hiki -Mpuuzi yule ana kila dalili ya kutaka kujiletaleta kwangu, najua iko siku ataleta swaga zake za kiduwanzi, nimetafakari ikitokea nimjibu nini ili naye ayapate maumivu mara mia ya niliyoyapata mimi nimeshindwa, nisaidieni wana MMU.
Pamoja na mengine mwambie hata mimba haikuwa yake na alifanya vizuri kuwakimbia. Mwenye mtoto ambaye ndiye mimi anawalea. Halafu utakuwa unanipa papuchi taratibu.
 
Huna akili ndo maana umezalishwa na kukimbiwa + kudhalilishwa na bado unaendelea kuuthibitishia ulimwengu kuwa bado dish lako liko tenge,
Inawezekana kweli sina akili,ila sijaona sababu ya wewe mwenye akili kuingilia masuala ya nisiyekuwa na akili,kama ipo niambie
 
Nakuomba uendelee na maisha yako. Achana na mambo ya kulipa kisasi. Najua bado una maumivu lkn wema hudumu zaidi. Nimejifunza mengi sana kuhusu kutolipa kisasi. Lea mtoto wako maisha yaendelee
Asante
 
Usinene ukamara. Ukiona unaanza kutapatapa kutaka ushauri ujue kuna ugumu kuachana na mzazi mwenzako. Hili nalisema kila siku. Ila tumia busara zako zitakavyokuongoza maana hasira haitendi haki.
Asante, ila hakuna ugumu wowote.
 
unajua katika maisha ya ndoa kuna maudhi mengi. Kuna kipindi mwezio anakukwaza mpaka unafikiri halikuwa chaguo sahihi. Ukitazama ndoa za wenzako unaona wana amani kuliko wewe. Hivyo unapofanya uamuzi kwa hasira ndio inatokea hayo ya kuchafuana mitaani. Ikitokea mkaachana na kila mtu kuwa na maisha yake ndipo uzuri wa mwenzio unaonekana. Hivyo mwenzio katafakari kaona kuna mazuri yako anayakosa. Kaa msameheane!
 
Katika harakati za kutafuta mkate nilikutana na mwanaume ambaye hatimae akawa mzazi mwenzangu, tuliishi kipindi kirefu sana tukiwa kama mke na mume, mwisho wa siku jamaa akaamua kuachana na mimi kwa mbwembwe na udhalilishaji wa kimataifa,mabaya mengi sana alinizushia ili tu azma yake ya kutaka kuniacha kiholela ipate waungaji mkono, Kwa kiasi kikubwa alifanikiwa wengi walimuunga mkono, kejeli matusi vilikuwa vikipishana mitaani vikinisaka mimi ,na haikuwa mimi tu mpaka familia yangu iliunganishwa kwenye hiyo dhihaka, kilikuwa kipindi kigumu sana haijawahi kutokea, maradhi msongo wa mawazo viliandama kiasi kwamba niliichukua dunia, nilijuta kwanini nilizaliwa, wakati mwingine nilitamani nife niondokane na haya mateso, lakini nilikuwa nikimwangalia mwanangu naishia kulia, nawaza nikifa leo huyu kiumbe asiyekuwa na hatia nitamwacha katika mazingira gani? Mungu si James kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele nikawa naizoea hali ile, nikaikubali hali ile na niambiwe au nisikie nini sikuweza kuumia tena, mpaka naandika uzi huu nina amani na yaliyopita yamebaki simulizi tu wala hayaniumizi tena. Kilichonileta kwenu ni hiki -Mpuuzi yule ana kila dalili ya kutaka kujiletaleta kwangu, najua iko siku ataleta swaga zake za kiduwanzi, nimetafakari ikitokea nimjibu nini ili naye ayapate maumivu mara mia ya niliyoyapata mimi nimeshindwa, nisaidieni wana MMU.
Katika harakati za kutafuta mkate ulikutana na mwanaume???

Ina maana Huyo jamaa akawa riziki kwako, means akawa km ndie source of income kwako??
 
Back
Top Bottom